Kienyeji wapi msiambiwe ukweli.. we uliona wapi refa yule yule robo fainali, nusu na fainali.. bongo bhana [emoji38]Hii ndiyo team inayomfaa Haji Manara, taasisi inayoendeshwa kienyeji
Na vp kila timu ikawa na refa wake yule yule kila match / hatua?sasa kama kila timu itachagua refa wake hio ni soka au rede
We mkia huoni aibu yaani mwamuzi mmoja awachezeshe kuanzia robo hadi fainal?mikia wanaojitambua hili hawawezi kusapportMwamuzi kakataa Rushwa ya wanayanga walompa
Sasa Yanga wamejiwahi
Utopolo
Wasipeleke timu uwanjani kama hawataki
Utopoloo huwa hamuishiwi chokochokoWe mkia huoni aibu yaani mwamuzi mmoja awachezeshe kuanzia robo hadi fainal?mikia wanaojitambua hili hawawezi kusapport
mkundi wako wewe huwezi mjadili mbowe negative kama kweli unaakili timamuPole kumbe hujijui kuwa wewe ndiye mjinga?
Si shabiki wa mipira yenu ya kitanzania lakini kimantiki inatia shaka mwamuzi mmoja kuchezesha mechi 4 consecutively. Hata wewe liangalie hilo halafu njoo na uchambuzi usioegemea upande wowote tuone. Hata mahakamani hili haliwezi kutokea kesi NNE zinazomhusu mshtakiwa mmoja kupewa hakimu mmoja.
Balimi zikiisha kichwani hebu kaa kwa kutulia halafu ujaribu kudiscuss hili la refa mmoja kuchezesha timu moja toka robo fainal hadi fainal,tumia akili za kawaida tu ulizoumbiwa nazo kama zipo lakiniYaani utopolo wapo kienyeji mnoo,yaani wanawapangia hadi tff refa wa kuchezesha mechi yao,kwa hiyo asipobadilishwa hawataingiza timu uwanjani?
Hii mijamaa inatia aibu kweli soka letu,yaani kika siku ni mijitu ya hila na malalamiko tu
Mada umeielewa we mbumbumbu mdogo?Utopoloo huwa hamuishiwi chokochoko
Sasa hapo mnataka tu kuleta mtafaruku
Kimataifa, Hamuendi bika Mgongo wetu.
Walete mzungu kabisaNeutral referee
Ya Mbowe hapa yanahisu nn?Achana na masuala ya Yanga wakati wewe ni Simba na Chadema Damu. Hivi una habari kuwa Mbowe yupo lupango, muulize Erythrocyte maana yupo anapika kumpelekea uji. Ila mkumbuke mtu akihudhuria msiba wa aliyekufa kwa COVID-19 lazima aji lockdow. Je Mbowe wenu anaisambaza mwanza baada ya kuhudhuria maziko ya kaka yake aliyekufa kwa Corona kutokana na makijidai yake? Jibu analo brazaj
Shida ni nini kwani kama yupo vizuri zaidi ya wengine?Balimi zikiisha kichwani hebu kaa kwa kutulia halafu ujaribu kudiscuss hili la refa mmoja kuchezesha timu moja toka robo fainal hadi fainal,tumia akili za kawaida tu ulizoumbiwa nazo kama zipo lakini
Yaani huoni tatizo lolote?Hii ndiyo team inayomfaa Haji Manara, taasisi inayoendeshwa kienyeji