Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

Jamaa nilijua akili hana baada ya Simba kupigwa mbili na Mayele ngao ya jamii ,alikuwa kila muda nyuzi za malalamiko mara kuhamasisha wawazomee wachezaji ,kususia kwenda uwanjani ,tuhuma kwa wachezaji nk nikashukuru sina ushabiki huo wa mpira maana ukizidi sana matokeo yake huwa kama hayo unaweweseka mno kwa kitu usichokuwa na uwezo nacho kutatua wala kukupa faida.
😃😃 Huyu ana undugu na GENTAMYCINE
 
ndio maana wahindi na waarabu wanazidi kutudharau tu, wanawalipa watu mishahara mbuzi ya laki moja na nusu laki mbili. Namimi nasema hivi walipeni tu hiyo hiyo mishahara mbuzi, maana sample ya watumishi wenu ndio kama huyu jamaa
 
wacha weeeeeeeee
 
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.

View attachment 2384429View attachment 2384432
Wiki ya Kimataifa ya Wendawaimu bado haijaisha na itaisha rasmi Jumapili baada ya mechi ya Al Hilal FC na Yanga SC Saa 4 kasoro dakika 10 au dakika 5.

Yaani Timu Kubwa na tena yenye Mafanikio Kimataifa hata Kukuzidi Wewe unayedemadema Kutwa ya Al Hilal FC ikosee Jambo la Kawaida na la Kiuweledi kama hili?

Na msichokijua Wendawaimu na Wapumbavu mtakaoiamini hii Taarifa ya Uwongo, Uzushi na Propaganda Nyepesi ya Kuwateka Kifikra Mashabiki wao ni kwamba moja uwepo wa Pre Match Meeting pia ni kwa Kamisaa wa Mchezo na Watendaji wa CAF kuzikumbusha Timu husika juu ya Kadi za Mchezaji fulani na kama acheze au asiche na Timu zote ( hasa kupitia Mameneja wao ) hulizingatia hili sana na Kiumakini kabisa.

Mnachokitafuta hapa sasa Wendawaimu wa Timu husika ni kutafuta Kichaka cha Utetezi na Visingizio kuwa Yanga SC ikifungwa na Kutofuzu Makundi ya CAFCL basi wajue Yanga SC haihusiki bali imeonewa na inachukiwa na CAF pia kwakuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez yuko huko sasa.

Hamna Akili.
 
Mwanaume kamili hawi kama wewe mda wote ujinga ujinga wa simba
Sasa kwa hizi kauli kati ya mleta mada na wewe nani punga? Yani timu yako izidiwe plus stress zako za ufukara, ndo uje kuleta makasiriko hapa?
 
Sasa kwa hizi kauli kati ya mleta mada na wewe nani punga? Yani timu yako izidiwe plus stress zako za ufukara, ndo uje kuleta makasiriko hapa?
na hizi stress walizonazo week kila siku naahidi kuleta taarifa za intelejensia nitapumzika jumapili jioni wakiwa wanaenda kumaliziwa mazima hapo sudan
 
Attachments

  • 2951031_IMG_20210929_175427.jpg
    2951031_IMG_20210929_175427.jpg
    17.5 KB · Views: 1
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.

View attachment 2384429View attachment 2384432
huu ndiyo upumbavu wa mashabiki wa soka Tanzania. Yaani unashabikia timu ya nyumbani kwenu ikishindwa kwa sababu tu si shabiki wa timu hiyo. Kwa ujinga na upumbavu wako unasahau kuwa ikishindwa inaonekana nchi yako ina timu vilaza. Unapata faida gani ukiwa na timu bora moja tu nchi nzima?
 
Back
Top Bottom