njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #41
mmmh acha habari zako za kale weweeee, kila mtu afe kivyakevyake..wa angola wanakuja tarehe 14 mmekaribishwa kwenda kuwapokea airport kama kawaida yenuhuu ndiyo upumbavu wa mashabiki wa soka Tanzania. Yaani unashabikia timu ya nyumbani kwenu ikishindwa kwa sababu tu si shabiki wa timu hiyo. Kwa ujinga na upumbavu wako unasahau kuwa ikishindwa inaonekana nchi yako ina timu vilaza. Unapata faida gani ukiwa na timu bora moja tu nchi nzima?