Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

mmmh acha habari zako za kale weweeee, kila mtu afe kivyakevyake..wa angola wanakuja tarehe 14 mmekaribishwa kwenda kuwapokea airport kama kawaida yenu
 
mmmh acha habari zako za kale weweeee, kila mtu afe kivyakevyake..wa angola wanakuja tarehe 14 mmekaribishwa kwenda kuwapokea airport kama kawaida yenu
bado unadhihirisha upumbavu wako. acha kuhusudu vya wengine. mtu aliyestaarabika hana ujinga kama ulionao au ulisoma ukaiishia chekechea ukadhani umemaliza chuo kikuu?
 
Watu kama nyie ndio mnapigwa sana na kampuni kama Kalyinda.

Usiku unamuwaza Eng Hersi.

Mchana unamuwaza Haji Manara.

Jioni Yanga.
 
Watu kama nyie ndio mnapigwa sana na kampuni kama Kalyinda.

Usiku unamuwaza Eng Hersi.

Mchana unamuwaza Haji Manara.

Jioni Yanga.
tuma salaamu kwa watu watatu , bugatti ana ujumbe wako huku

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…