Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

Uzushi,Yanga walimuhitaji ngoma sema baadae wakaachana nae sbb ya injury,kama kuporwa basi ni yule zougran ndio ilikua target ya Yanga
Eti injari

Mlizidiwa dau acheni kutafuta sababu wakati vitu vinajionesha.

Mchezaji aende Avic aache Turkey?

Apishane na dusko la Super Cup akacheze NBC?
 
Katambulishwa Yanga lakini kavaa jezi ya wekundu? Cjaelewa
 
Mo anakaribia kukata tamaa
Kamfariji huyo baniani
Ligi ikianza hatutaki lawama
 
Eti injari

Mlizidiwa dau acheni kutafuta sababu wakati vitu vinajionesha.

Mchezaji aende Avic aache Turkey?

Apishane na dusko la Super Cup akacheze NBC?
Kwa Yanga hii makolo hamuwezi kushindana na Yanga kwenye pesa za usajili,Yanga kutokwenda uturuki si kama pesa hawana ila wameangalia muda,baada ya siku 10 wana mwananchi day,camp ya 8 nje itawapa kitu kile kile ambacho watakipata avic
 
Sio kweli kwani miaka yote hili tamasha huwa linafanyika mwezi huu?

Huu mwezi mmeharakisha kwakua waleti haisomi halafu bado kuna mfululizo wa vikao ambavyo haviishi kumlilia shida Mayele abaki.

Pesa imewakata huo ndio ukweli.
 
Sijaelewa Kwa mkude kusajiriwa Yanga mpaka hapo,nitakapoona kazi atakayofanya hapo Jangwan.
 
Eti injari

Mlizidiwa dau acheni kutafuta sababu wakati vitu vinajionesha.

Mchezaji aende Avic aache Turkey?

Apishane na dusko la Super Cup akacheze NBC?
Sasa Uturuki kuna jipya gani? Kama ni kumuona Fikri si hata Azzam TV unamuona?
 
Back
Top Bottom