Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Msimu uliopita pia wallet ilikua aisomi mbona camp ilikuwepo avic pia,toka ile camp ya siku 4 morroco Yanga imeona hamna ulazima sana wa camp ya nje ya nchi,kwanza walichoangalia ratiba ilivyowabana msimu uliopita na msimu huu,tayari hapo kuanzia tarehe 10 aug kuna ngao ya jamiiSio kweli kwani miaka yote hili tamasha huwa linafanyika mwezi huu?
Huu mwezi mmeharakisha kwakua waleti haisomi halafu bado kuna mfululizo wa vikao ambavyo haviishi kumlilia shida Mayele abaki.
Pesa imewakata huo ndio ukweli.
Mkude kumbe ni matakwa ya kocha!!!
Aiseee hii timu ina mambo
Simba hawana iyo ratiba? Au pesa hamnaMsimu uliopita pia wallet ilikua aisomi mbona camp ilikuwepo avic pia,toka ile camp ya siku 4 morroco Yanga imeona hamna ulazima sana wa camp ya nje ya nchi,kwanza walichoangalia ratiba ilivyowabana msimu uliopita na msimu huu,tayari hapo kuanzia tarehe 10 aug kuna ngao ya jamii
Msimu uliopita ni Azizi Ki alipita na kapu lote la hela acha kusingizia ratiba ilibana wakati wote tunajua sababu halisi.Msimu uliopita pia wallet ilikua aisomi mbona camp ilikuwepo avic pia,toka ile camp ya siku 4 morroco Yanga imeona hamna ulazima sana wa camp ya nje ya nchi,kwanza walichoangalia ratiba ilivyowabana msimu uliopita na msimu huu,tayari hapo kuanzia tarehe 10 aug kuna ngao ya jamii
Wazee wa mizoga katika ubora waoView attachment 2686186
Hatimae ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
Mudathir alikuwa vizuri tuHalafu utashangaa anakinukisha kweli kweli. Yaani kama tu anavyofanya Mudathir Yahya Abbas.
Mudathir hanywi pombe wala kuvuta bangiMudathir alikuwa vizuri tu
Galasa hilo!!
Safi, azam walumwacha kwa sababu zao, Ila ni mtu kazi haswa.Mudathir hanywi pombe wala kuvuta bangi