Yanga yamtimua Kocha

Yanga yamtimua Kocha

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Licha ya ushindi wa goli 3. Kocha afungishiwa virago, si wangesubiri hadi mechi na Simba 18 October. Wasije wakamtimua na huyo anayekuja.
IMG_20201003_210650_502.JPG


1601804557695.png
 
Wana punguza aibu, ila kipigo iyo game kipo pale pale wabaki wanajitetea kua hatuna kocha
 
Huyo kocha atakuwa alionesha dharau au ameongea maneno ya dharau mno.

Kwanza uwanjani alikuwa analalamika sana kama vile hakuruhusiwa kupanga kikosi.
 
Yanga inaendeshwa kwa mihemuko sana kushinda mademu wa vyuo.

Unamfukuzaje kocha ambaye hajafungwa hata game moja kwenye ligi, na ametoa droo moja tuu na kushinda zote akiwa ameconcede goli chache sana ilihali kikosi chote amesajiliwa na uongozi bila kushirikishwa hata kidogo !

Wachezaji waliosajiliwa yanga sio wa kucheza mpira pasi , wengi wakutumia maguvu, inakuwaje mtegemee kina Mwanyeto na kina Tusila wacheze kama Tripple C na Bwalya!


Engineer Hersi apewe timu aifundishe tuone kama ni kazi rahisi , kutaniwa tuu na kina Manara Mnacheza mpira Magimbi mnabadili Kocha mnasahau kuwa hamna wachezaji wengi wanaoweza kicheza mpira Biriani ..
 
Back
Top Bottom