Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Licha ya ushindi wa goli 3. Kocha afungishiwa virago, si wangesubiri hadi mechi na Simba 18 October. Wasije wakamtimua na huyo anayekuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa 18/10/2020 itakuwaje
Sawa kwani Kuna shida??
Na bodo watatesekasana.
Hii mada itachangiwa zaidi na Mikia FC kuliko na wana yanga, utafikiri inawahusu
Mbona yanga wamecheza vizuri tu leo!?
Anyway sawa tu. Hataki utopolo
Eddo kumwembe alisema huyu Kocha hafiki tarehe 18 mwezi wa 10