Yanga yamtimua Kocha

Wana punguza aibu, ila kipigo iyo game kipo pale pale wabaki wanajitetea kua hatuna kocha
 
Huyo kocha atakuwa alionesha dharau au ameongea maneno ya dharau mno.

Kwanza uwanjani alikuwa analalamika sana kama vile hakuruhusiwa kupanga kikosi.
 
Yanga inaendeshwa kwa mihemuko sana kushinda mademu wa vyuo.

Unamfukuzaje kocha ambaye hajafungwa hata game moja kwenye ligi, na ametoa droo moja tuu na kushinda zote akiwa ameconcede goli chache sana ilihali kikosi chote amesajiliwa na uongozi bila kushirikishwa hata kidogo !

Wachezaji waliosajiliwa yanga sio wa kucheza mpira pasi , wengi wakutumia maguvu, inakuwaje mtegemee kina Mwanyeto na kina Tusila wacheze kama Tripple C na Bwalya!


Engineer Hersi apewe timu aifundishe tuone kama ni kazi rahisi , kutaniwa tuu na kina Manara Mnacheza mpira Magimbi mnabadili Kocha mnasahau kuwa hamna wachezaji wengi wanaoweza kicheza mpira Biriani ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…