Yanga yamtimua Kocha

Huyu mserbia atakuwa na tatizo si bure..
 
Wewe lazima ni mkiaa
 
Yanga ya kuyamba katika ubora wao kwenye nyanja ya Utopolo
 
Eymael ni zaidi kwa sababu aliwatujana "watu weusi" halafu kwa "ujinga walionao" matusi yao wenyewe wameyageuza "msemo"
Hakuwatukana watu weusi aliwaambia ukweli yanga ilq kwa sababu ni uneducated wanafikiri walitukanwa
 
Hakuwatukana watu weusi aliwaambia ukweli yanga ilq kwa sababu ni uneducated wanafikiri walitukanwa
Neno hilo wala sio jipya, mbumbumbu fc. Kina Eto, Kevin Prince Balotelli nk wamekumbana nayo sana tu. Wajinga wa kibongo wanaona fahari wakati watu walikuwa mpaka mechi, hovyo kabisa. Ukiona mtu mweusi anaitwa nyani wewe unakenua meno basi ukapumwe ubongo wako.

Hujui hata ni kwa nini jambo hili lilikemewa Afrika nzima, mbumbumbu wewe!!
 
Matatizo yenu msihusishe waafrika wote, walioitwa manyani, majibwa uneducated ni yanga ila kwa sababu ni kawaida yenu mnataka ionekane afrika nzima imetukanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…