Mwafrika anayemwita mwenzake NYANI ni mjinga asiye na ufahamu hata kidogo kwamba hata wazazi wake anawaita hivyo. Hili ni neno linalolaaniwa duniani kote na limezoeleka Ulaya kiasi cha kupelekea weusi kuzihama ligi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.