Yanga yaomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe

Yanga yaomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Club ya Yanga imeomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe kabla hawajaondoka nchini. Hizi taarifa zimetolewa na vice president wa TP Mazembe. Vice president amesema wataangalia kama uwezekano huo upo.

Najiuliza Yanga si waliponda sana hizi mechi na hizi timu. Kwanini wasiombe mechi labda na Ihefu au Dodoma mji.
 
Gsm anaona ubahili kuleta timu.. mimi kama mwanayanga sijapenda kucheza na timu iliyolipiwa ndege kuja na iliyolala hotel kwa gharama za mikia
 
Back
Top Bottom