Mdogo mdogo wazee wa propaganda uchwara watakarishwa mazima, wenzao wanawekeza kiukweli kwenye mpira wao wamekaria ngonjera kina Try again na genge lake!Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Uko sahihi mkuu .Mdogo mdogo wazee wa propaganda uchwara watakarishwa mazima, wenzao wanawekeza kiukweli kwenye mpira wao wamekaria ngonjera kina Try again na genge lake!
Mimi ni Yanga lakini uongo sipendi.Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Aaah wapi labda ubora wa kuloga au kuifunga simba😂Ni haki yenu Mkuu.
Tangu NOVEMBER MOSI 2022 - OCTOBER 31 2023, nakuheshimu siwezi kukuita Mbumbumbu Kaka.Mamelodi kabeba kombe juzi halafu apitwe na Yanga?. Ok sawa.
Kwa kuwa namba 1,4,8 wapo kundi moja CAFCL, haitachukua muda pumba na mchele kujitenga.Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
.Makolo wanasemaje!!!
Kipindi hiki mmetisha. Mmepiga chini mpaka Mamelody? Zile goli 5 hazikuwa mchezo hahaShirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.