Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Nani anaebisha?..
 
SEMA bado Sana inatakiwa tuwe pale kwenye 1.. juu
 
Ilikuwa ni kiasi cha muda tu, namba kusomeka hivyo.

Misimu hii miwili tumedhihirisha kuwa bora, ukiwa mkweli Yanga tunastahili.
 
😂🤣🤣sawa mmetufunga Lakin kwanini bado mnateseka 😂🤣🤣
 
Nayakumbuka maneno ya Eng Hers alipokuwa ana mwambia Raisi wa FIFA kuhusu matokeo ya mechi ya simba akasema boom five [emoji95][emoji2772] Raisi wa FIFA akacheka kile kicheko [emoji23][emoji23]
 
Mtandao upi,mimi Nimeingia kwenye huo mtandao Nimekuta yanga hawako hata top 10 kwa data walizo Tuma siku nne zilizopita
 
Back
Top Bottom