Nani anaebisha?..Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
SEMA bado Sana inatakiwa tuwe pale kwenye 1.. juuShirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Mtani kuna Kolowizards limefuta uzi wangu wa majina ya utani kama Mwakarobo SC, kumbe Mods nao huumia [emoji848][emoji847]Ila daaaa huku tunakoelekea kwa viroja hivi..mi ngoja nipumzike jamani..