Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:

"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika"

"Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo na amekuja kufanya mazungumzo na kusajili tayari kwa kuanza kazi katika michuano ya kimataifa."
1729759772929.png
Soma, Pia:
+Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!
+
Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Hivyo hivyo.
 
😀 kazi ipo, ingawa timu yenu pia inaimarika daily na dabi ijayo naona Yanga akipitia mateso zaidi ya game mbili za mwaka huu mna kitu
Sure mkuu...cha msingi wachezaji wasi lose focus wakatoka nje ya mchezo
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Hawa kila kitu wanachofanya ni kwa ajili ya Simba. Furaha yao ipo wakijiprove kwa Simba kuwa wao ni bora.
 
Hawa kila kitu wanachofanya ni kwa ajili ya Simba. Furaha yao ipo wakijiprove kwa Simba kuwa wao ni bora.
Kabisa ndo maana msemaji wao Simba haikauki mdomoni mwao...
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpeg

Kabisa ndo maana msemaji wao Simba haikauki mdomoni mwao...
 
Back
Top Bottom