Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:

"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika"

"Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo na amekuja kufanya mazungumzo na kusajili tayari kwa kuanza kazi katika michuano ya kimataifa."
Soma, Pia:
+Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!
+
Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025
e869b9b5-f777-4dec-81c3-999ca5992862.jpeg
 
Back
Top Bottom