Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Acha dawa iwaingie vizuri
Hawa watani zenu lazima wawakere kabla ya kwenda huko AfrikaYani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Sidhani kama ni yeye, ila tusubiri dirisha litasema niniSi mwingine ni Fiston Kalala MAYELE, mzee wa kutetema aka vibration
Naona aiseee ππHawa watani zenu lazima wawakere kabla ya kwenda huko Afrika
Hivyo hivyo.Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
ππππHivyo hivyo.
π kazi ipo, ingawa timu yenu pia inaimarika daily na dabi ijayo naona Yanga akipitia mateso zaidi ya game mbili za mwaka huu mna kituNaona aiseee ππ
Sure mkuu...cha msingi wachezaji wasi lose focus wakatoka nje ya mchezoπ kazi ipo, ingawa timu yenu pia inaimarika daily na dabi ijayo naona Yanga akipitia mateso zaidi ya game mbili za mwaka huu mna kitu
Hawa kila kitu wanachofanya ni kwa ajili ya Simba. Furaha yao ipo wakijiprove kwa Simba kuwa wao ni bora.Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Uyo unaye mtaja ndiye yule aliye ongea wa kwanza katika kile kikundi Cha malalamiko Cha Wazee wa Simba, Kwaiyo bila huruma aendelee kuumia tu.1ππ
Yeah, ilo naliona Simba ionesha ukomavuSure mkuu...cha msingi wachezaji wasi lose focus wakatoka nje ya mchezo
Kabisa ndo maana msemaji wao Simba haikauki mdomoni mwao...Hawa kila kitu wanachofanya ni kwa ajili ya Simba. Furaha yao ipo wakijiprove kwa Simba kuwa wao ni bora.
Kabisa ndo maana msemaji wao Simba haikauki mdomoni mwao...