Yanga yapeleka msiba mwingine Msimbazi, yautaka Ubingwa wa Afrika

usiwe unakwot na hili li bandiko lako la kizuzu...😊😊😊😊
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Kipigo kinahusu wote ndio maana na Simba wanapewa taarifa ili wajiandae ipasavyo kushikilia bomba.
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
achana nao ukimfaham mbwa hakupi shida.
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
kwanini tusimuwaze my wetu tunaemtufua kwa raha zetu!
 
Under Ceteris Paribus, Hata akiletwa PEP GADIOLA AWE KOCHA WA PAMBA FC.

ALAF HARMORAPA zingatia jina HARMORAPA awe KOCHA mkuu YANGA
utashangaa PAMBA FC inashuka daraja na YANGA anachukua nafasi za juu.
 
Sasa kama mme aim ubingwa wa CAF msimbazi anapata Msiba gani?
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Kilio maana Simba hajawai chukua hilo kombe
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALY AKILI ZA KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA.

CAPO.
 
Upigwa wa africa sio rahisi hivyo labda 2026 fitna za ubigwa Yanga bado sana..
 
Yani mnasajili kwa ajili ya kuchukua ubingwa Africa halafu tena mnaiwaza Simba...kweli nyie ni mazuzu Fc...
Nilidhani mtapeleka kilio Alhly kumbe mnapeleka kilio Simba...basi mna sfr ndefu
Hata tukimfunga Bayern tutawananga Makolo.

Mtani Mtani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…