Yanga yapewa siku 10 kuwasilisha rufaa yao CAS, wasipofanya hivyo wanakuwa wameondoa Kesi yao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai.

Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

"YANGA wamepeleka kesi CAS ila wameambiwa kuna vitu wanapaswa kuvitimiza ambapo cha msingi ni kuwasilia RUFAA yao ama Appeal Brief ndani ya siku 10 na wasipofanya hivyo basi watakuwa wameiondoa kesi yao, wanapaswa kuwasilisha maelezo ya kutosha na hoja za kisheria"- Wakili Aloyce Komba akihojiwa juu ya maombi ambayo Yanga wametuma CAS kupitia ITV.

Mwanasheria ya Yanga hajawahi kushinda kesi yoyote tangu aajiriwe
 
Vitu vingine vya kipumbavu tu kuongea, Ina maana waliopeleka kesi hawajui utaratibu hadi uje utupigie makelele?
 
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai.

Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

"YANGA wamepeleka kesi CAS ila wameambiwa kuna vitu wanapaswa kuvitimiza ambapo cha msingi ni kuwasilia RUFAA yao ama Appeal Brief ndani ya siku 10 na wasipofanya hivyo basi watakuwa wameiondoa kesi yao, wanapaswa kuwasilisha maelezo ya kutosha na hoja za kisheria"- Wakili Aloyce Komba akihojiwa juu ya maombi ambayo Yanga wametuma CAS kupitia ITV.

Mleta mada juzi nilikurekebisha kwenye uzi wako nikasema hichi hichi alichosema huyu Wakili ila ukakaza fuvu.
 
A
Muda upi mnasumbua watu tu na matatizo yenu...mara mko Polisi, mara mnatishia kuua , mara mnatoa rushwa, mara mna makesi na wachezaji, mara mnatoa makafara ya wanyama... nyinyi ni hopeless
Mara tumewagonga 5 mbona hilo husemi
 
Wataichanachana tu kama walivyochana goli la aziz
 
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai.

Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

"YANGA wamepeleka kesi CAS ila wameambiwa kuna vitu wanapaswa kuvitimiza ambapo cha msingi ni kuwasilia RUFAA yao ama Appeal Brief ndani ya siku 10 na wasipofanya hivyo basi watakuwa wameiondoa kesi yao, wanapaswa kuwasilisha maelezo ya kutosha na hoja za kisheria"- Wakili Aloyce Komba akihojiwa juu ya maombi ambayo Yanga wametuma CAS kupitia ITV.

Wamebadili wakili,tunamtaka wakili msomi Patrick Simon!
 
Back
Top Bottom