sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
===============
Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno)
Mfano
2,000 USD (Two thousand US Dollars)
2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian shillings)
Hio barua kuna mikanganyiko mingi sana
- 10.000 (Ten Thousand US Dollars) - hapa ni kumi nukta sifuri na tarakimu hazijamaliziwa na USD.
- 25,000 USD (Twenty-Five thousand dollars) - Kuna deshi kati ya wenty na five, hakuna kitu hiki kwenye kiingereza.
- 35.000 US Dollars - wanarudia tena kuwekaa nukta
- American Dollars - hakuna dollar inayotumika kwa nchi zote zilizomo bara la America, marekani ipo America inatumia United States Dollar (USD), Canada ipo America inatumia Canadian Dollar (CAD)