Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264



===============

Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno)

Mfano
2,000 USD (Two thousand US Dollars)
2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian shillings)

Hio barua kuna mikanganyiko mingi sana
  1. 10.000 (Ten Thousand US Dollars) - hapa ni kumi nukta sifuri na tarakimu hazijamaliziwa na USD.
  2. 25,000 USD (Twenty-Five thousand dollars) - Kuna deshi kati ya wenty na five, hakuna kitu hiki kwenye kiingereza.
  3. 35.000 US Dollars - wanarudia tena kuwekaa nukta
  4. American Dollars - hakuna dollar inayotumika kwa nchi zote zilizomo bara la America, marekani ipo America inatumia United States Dollar (USD), Canada ipo America inatumia Canadian Dollar (CAD)
 
Futa hii nikurushie Jero USD
 
Izo ni taarifa za Cuf ya Lipumba. Mbumbumbu endeleeni kuteseka sisi wengine ndio Raha yetu.
 
Ni u mbumbumbu tu unawasumbua, tangulini Caf walipiga ban fireworks zisiwepo majukwaani?
Adhabu utolewa iwapo zitarushwa uwanjani tu.
Mimi mwenyewe nimeshangaa! Hata hayo makosa yenyewe waliyolalamikia hao Rivers, karibia yote ni ya kufikirika tu.

Mfano Yanga inahusika vipi na upotevu wa hizo dola zao 5000+ kwenye gari lao!! Au kuhusu kupulizia sumu kwenye gari lao, Yanga wanahusika vipi!!

Na kuhusu hizo tochi, kila timu siku hizi inafanya! Iweje kwa Yanga iwe kesi ya kupigwa faini? Aliyeleta huu upuuzi ana matatizo ya akili. Siyo bure.
 
Endelea kushangaa,ila wenzenu wanakamuana kulipa deni,


Ingekuwa uwongo wangeshatoka hadharani kukana...


Vibaka united
 
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba mashabiki wetu wasije tena na Fataki tukubaliane hatutofanya tena makosa.

“Ni kweli tumepokea Barua ya kutozwa faini Dollar 35,000 kwa makosa ya kuwasha fataki, Moshi na Tochi uwanjani pamoja na Basi la Rivers Utd kuvamiwa”

“Baadhi ya Matukio yanafanywa sana na Wenzetu waarabu lakini huoni wakidhibiwa hivyo Wananchi tunawaomba Waache hizi tabia kwasababu tupo hatua nzuri ambayo inawezekana tunajaribiwa kutolewa kwenye ‘focus’ tunaomba Wananchi waache hizi tabia ili tusiwape sababu”

[emoji361] Ali Kamwe.
Afisa Habari wa Yanga Sc.
 
Kumbe wewe ndio mzushi
 
Majambazi fc
Vibaka fc
Panya road fc
Matapeli fc
Vidokozi fc
Mihemuko fc
[emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

BAHLABANE BA NTWA
 
😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…