Yanga yapigwa faini na CAF

Sasa Tff haijulikani Kama wali wasiliana na Yanga juu ya tuhuma izo maana CAF wametoa adhabu kwakua Tff haikutoa ushirikiano walipoulizwa juu ya malalamiko ya Rivers.
TFF waliijulisha Yanga, ikauchuna. TFF wangejibu nini sasa?
 
Kwa hiyo faulo za uwanjani unataka zipelekwe CAF? Referees wana kazi gani?

Misukule mna taabu sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hi si timu ya maana, kuanzia msemaji wao Haji mpaka na viongozi wao....hawana issue hata kidogo, ife tu au kushushwa daraja.
 
Kumbe TFF nao majeuri, ni sawa na mzazi akutake ujieleze kutokana na makosa fulani halaf ukae kimya ni kiburi icho.
CAF wawapige rungu hao TFF.
 
Viongozi wa Utopolo ni mazezeta tupu,baada ya kutolewa mashindanoni wakasusa kujibu barua ya CAF,sasa wamelimwa faini wanatafuta mchawi, haya maelezo wanayotoa sasa kwenye viredio vyao uchwara wangeyatoa katika kuijibu barua ya CAF naamini faini isingekuwa kubwa hivi. Wao wamewekeza kwenye propaganda uchwara ambayo haiwasaidii chochote. Hata figisu walizofanyiwa kule Port Harcourt walishindwa kuzitolea taarifa CAF.
 
Mlikuwa wapi mikia siku hizi mnakosa tittle mnakujs na topic za ovyo ebu chezeni mpira timu lenu limeharibika juu ya mawe 😂😂
wale watu milioni 7 wenye matatizo ya afya ya akili ni mashabiki wa yanga. hata manara aliwahi kusema kuwa ukimtoa mzee Kikwete na Baba yake tu walio salia ni kuomba mungu tu
 
Kuna sehemu kweli kwenye maelezo yangu nimeandika faulo za uwanjani? Mimi nilimaanisha malalamiko ya As Vita kuhusu kuwekewa dawa kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo.

Hizo faulo za uwanjani umesema wewe.
Hizi taarifa za kupuliziwa dawa vyumbani ilikuwa fitna za Utopolo kuiharibia Simba ndiyo maana CAF walizipuuza kwa sababu hazikuwa na ushahidi. Ule msemo wa Kiswahili usemao mchimba shimo kaingia mwenyewe ndiyo umekuwa na maana halisi kwa Utopolo, shimo mlilochimba limewameza wenyewe.p
 
Waliwasingizia Simba Nigeria walipokuja wakawageuzia kibao
 
Habari za AS Vita kuchezewa Faulo za uwanjani labda uliandika ukiwa umelewa. Haukuwa wewe
 
Kuna sehemu kweli kwenye maelezo yangu nimeandika faulo za uwanjani? Mimi nilimaanisha malalamiko ya As Vita kuhusu kuwekewa dawa kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo.

Hizo faulo za uwanjani umesema wewe.
Unaelewa maana ya faulo?
 
Jipe sana moyo
wale watu milioni 7 wenye matatizo ya afya ya akili ni mashabiki wa yanga. hata manara aliwahi kusema kuwa ukimtoa mzee Kikwete na Baba yake tu walio salia ni kuomba mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…