mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 8, 2022 #61 Ni hujumaaa,ni hujumaaa (Steve lia lia) wamesubiri siku moja kabla ya mechi ya Al hilal ndo wametoa hukumu ili wawavuruge utopolo
Ni hujumaaa,ni hujumaaa (Steve lia lia) wamesubiri siku moja kabla ya mechi ya Al hilal ndo wametoa hukumu ili wawavuruge utopolo
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 8, 2022 #62 Thubutu ebu anzeni tuone Mad Max said: Tutachanga.. Click to expand...
C CHIZI VITABU JF-Expert Member Joined Jun 12, 2021 Posts 1,061 Reaction score 2,477 Oct 8, 2022 #63 Glenn said: Japo umepiga dongo lkn hiyo pesa kwa taasisi kubwa kama Yanga/simba ni pesa ndogo mno Click to expand... SIMBA WATOE HAPO...wamefilisika balaa ndugu yangu Mo kakimbilia kwenye boxing , team ya kueleweka sasa hivi yenye mipango na pesa ni yanga pekee
Glenn said: Japo umepiga dongo lkn hiyo pesa kwa taasisi kubwa kama Yanga/simba ni pesa ndogo mno Click to expand... SIMBA WATOE HAPO...wamefilisika balaa ndugu yangu Mo kakimbilia kwenye boxing , team ya kueleweka sasa hivi yenye mipango na pesa ni yanga pekee
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Oct 8, 2022 #64 Kweli soka lina tia umaskiini sasa hapo iyo 345 si itabidi ilipwe tu maana hakuna namna
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 8, 2022 #65 Tate Mkuu said: Kolo Kalpana kafurahi kweli! Hajawahi kututakia heri wananchi. Siku zote anatuombea njaa tu. Click to expand... Hahaaahaaa nawatakia heri sana kuna mashemeji zangu wa utopolo nawaheshimu sana sana
Tate Mkuu said: Kolo Kalpana kafurahi kweli! Hajawahi kututakia heri wananchi. Siku zote anatuombea njaa tu. Click to expand... Hahaaahaaa nawatakia heri sana kuna mashemeji zangu wa utopolo nawaheshimu sana sana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 8, 2022 #66 National Anthem said: Nakuona Kolo kolo Fc unavyo furahiaaa 🤣🤣🤣 Click to expand... Sasa je? Mpk muuze timu mwaka huu bro Uto
National Anthem said: Nakuona Kolo kolo Fc unavyo furahiaaa 🤣🤣🤣 Click to expand... Sasa je? Mpk muuze timu mwaka huu bro Uto
M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 871 Reaction score 1,475 Oct 8, 2022 #67 Tate Mkuu said: Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu. Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu! Click to expand... Hilo suala lake tulimalizana nae pale pale mkutanoni kama uliona lakini maana inaonekana ulihadithiwa Sasa msukule aliwaambia wenye akili ni wawili tu na kuonesha mnakubaliana na maneno yake Mkamsogeza karibu yenu maana nae mnafanana nae akili.
Tate Mkuu said: Na nyinyi mashabiki wa simba ni wakati muafaka kwenu huu wa kumfungulia mashtaka Mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage kwa kuwaita mbumbumbu. Haiwezekani awaite mbumbumbu, halafu mnakubali tu! Click to expand... Hilo suala lake tulimalizana nae pale pale mkutanoni kama uliona lakini maana inaonekana ulihadithiwa Sasa msukule aliwaambia wenye akili ni wawili tu na kuonesha mnakubaliana na maneno yake Mkamsogeza karibu yenu maana nae mnafanana nae akili.
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Oct 8, 2022 #68 Kalpana said: Sasa je? Mpk muuze timu mwaka huu bro Uto Click to expand... Haya Dada kolo 😃😃
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 9, 2022 #69 Ujuaji ukiwa mwingi haya ndiyo madhara yake