Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajizima data eeh? Ulisahau mechi ilivyotolewa saa 11 kupelekwa saa 1 mlifanya nini?Wanaume hatususi, Wanawake wamesusa kama kawaida kwenye siku ya sikukuu yao duniani.
Ndio unaamka?
Tuchukulie mfano mvua ingenyesha na Simba wakashindwa kufanya mazoezi ingekuwaje?Aliyezuia mazoezi ni nani??