CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuu,
Katika hali inayoonekana kuwa ya kushangaza Klabu ya Soka ya Yanga yenye Makao Makuu yake mitaa ya Twiga na Jangwani imepata mashtaka mengine tena TFF.
Wachezaji Yanic Bangala na Djuma Shaban raia wa Congo.
Wameingia katika mgogoro mzito wa kimkataba na Klabu ya Yanga.
Wachezaji hao ambao hawakutambulishwa siku ya kilele cha Wiki ya Wananchi, Yanga Day wana madai yafuatayo;
1. Wachezaji wana mkataba wa mwaka mmoja wanaotaka waendelee kuitumikia yanga. Yanga hawapo tayari.
2. Wachezaji wameomba kuvunjiwa mikataba na kwenda timu nyingine, Yanga wamegoma kuwavunjia mikataba.
Itakumbukwa siku za karibuni Yanga walikuwa na mgogoro na Kocha wao wa zamani Luke Emly (Manyani) aliyewashtaki Yanga FIFA, Feisal Salum nae aliishtaki Yanga TFF.
Simba hamna kiungo wala beki, changamkieni Bangala.