ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya Yanga na Wachezaji nani ambae hamtaki mwengine? Huyo ambae hamtaki mwengine ndie mwenye jukumu la kuvunja huo mkataba.Yanga haijiabishi bali mchezaji ana mkataba, so timu inayo mtaka ije na uzuri mchezaji ndiye aliye andika barua ya kuvunja mkataba, so yy ndiye anatakiwa akae na Yanga then Yanga wampe gharama ya mkataba wake anaotakiwa kulipa.
Ndio sheria za mpira zipo hivyo Fabrigas aliomba kuvunjiwa mkataba,Arsenal mwanzo ikakataa baada ya kuona mchezaji anakomaa kwenda Barca ,wakamwambia alipe mil 35 basi Barca wakatoa hela then mchezaji kaachiwa.
Mkataba hauvunjwi hivyo atakavyo mchezaji. Ila huu ujinga tume utaka wenyewe kuchanganya mpira na siasa na haswa swala la Fei,tumeliamua kisiasa na si kwa sheria za mpira. Ila ndio mpira wetu kivyetuvyetu.
Wenzetu UK maamuzi ya chama cha soka haya ingiliwi hata na malkia kama umeonewa nenda CAS,ule mwaliko ndio ukawavuruga Yanga na viongozi vya TFF.
Umbeya unakusumbua sanaHabari wakuu,
Katika hali inayoonekana kuwa ya kushangaza Klabu ya Soka ya Yanga yenye Makao Makuu yake mitaa ya Twiga na Jangwani imepata mashtaka mengine tena TFF.
Wachezaji Yanic Bangala na Djuma Shaban raia wa Congo.
Wameingia katika mgogoro mzito wa kimkataba na Klabu ya Yanga.
Wachezaji hao ambao hawakutambulishwa siku ya kilele cha Wiki ya Wananchi, Yanga Day wana madai yafuatayo;
1. Wachezaji wana mkataba wa mwaka mmoja wanaotaka waendelee kuitumikia yanga. Yanga hawapo tayari.
2. Wachezaji wameomba kuvunjiwa mikataba na kwenda timu nyingine, Yanga wamegoma kuwavunjia mikataba.
Itakumbukwa siku za karibuni Yanga walikuwa na mgogoro na Kocha wao wa zamani Luke Emly (Manyani) aliyewashtaki Yanga FIFA, Feisal Salum nae aliishtaki Yanga TFF.
Simba hamna kiungo wala beki, changamkieni Bangala.
Mchezaji haitaki club na barua kisha wasilisha Yanga. Kiutaratibu ambaye hamtaki mwenzake anatakiwa amlipe.Kati ya Yanga na Wachezaji nani ambae hamtaki mwengine? Huyo ambae hamtaki mwengine ndie mwenye jukumu la kuvunja huo mkataba.
Hujaelewa bado,Mchezaji haitaki club na barua kisha wasilisha Yanga. Kiutaratibu ambaye hamtaki mwenzake anatakiwa amlipe.
Ndio maana mchezaji akiachwa na club ndani ya mkataba club lazima imlipe na mchezaji akiiacha club naye anatakiwa kununua gharama za mkataba wake.
Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.Hujaelewa bado,
Mchezaji anaitaka club, yuko tayari kuendelea kuitumikia mpaka mkataba ukiisha. Club ndo haimtaki club ndio maana inamtoa kwa mkopo kwenda club ingine.
Mchezaji alichofanya ni kuwakumbusha tu kua yeye alisajiliwa kuichezea Yanga, kama hawamtaki basi ni heri wamuache moja kwa moja.
Kwa magumu aliyopitia Fei Toto kutoka Yanga alipotaka kuvunja mkataba sidhani kama kuna mwengine angethubutu kufanya hivyo.Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.
Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.
Kwa magumu aliyopitia Fei Toto kutoka Yanga alipotaka kuvunja mkataba sidhani kama kuna mwengine angethubutu kufanya hivyo.
Yanga ilianza kuwatuhumu hawa kua vinara wa ku mobilise migomo na sometimes kufungisha pia. Hivyo wakaanza kujiandaa kuwatoa kwa mkopo sababu mikataba yao haijaisha bado.
Barua za hawa ni baada ya kuona timu haina tena mpango nao. Ila lolote lawezekana pia.
![]()
Yanick Bangala awashukuru Yanga
Kiungo wa Yanga, Yannick Bangala amesema haondoki katika klabu ya hiyo kwani anahesmu mkataba wake hadi 2024.www.tanzaniaweb.com
Wamdai sio kumpeleka kwa mkopo.Kama wachezaji wanataka mkataba uvunjwe uvunjwe kisha taratibu zifuatwe.Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.
Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.
Unajua nini maana ya mkataba kuvunjwa?Wamdai sio kumpeleka kwa mkopo.Kama wachezaji wanataka mkataba uvunjwe uvunjwe kisha taratibu zifuatwe.
Mpaka waende tff ina maana kuna kitu hakijakaa sawa klabuni maana wanahisi klabu inawaonea.Unajua nini maana ya mkataba kuvunjwa?
Hamna kitu kama hicho mkataba uvunjwe then zifuate taratibu ,inatakiwa zianze taratibu/makubaliano baada ya hapo mkataba uvunjwe, maana nao watakuwa wanarudia kilekile cha fei.
Wachezaji kama wanataka mkataba kuvunjwa, maana yake wachezaji wanatakiwa kununua sehemu ya mkataba wao uliobakia kwa kukaa na timu inayo wamiliki na ndicho Yanga anacho kisubiri.
Kama wameenda TFF sawa,huko ndipo Yanga atapata haki yake kwa haraka na kiurahisi.
Wanahisi...........nini?Okay tutakutana huko huko TFF, ila nina kwambia tukifuata sheria ,Yanga anashinda kweupe na ndio maana wamekaa kimya.Mpaka waende tff ina maana kuna kitu hakijakaa sawa klabuni maana wanahisi klabu inawaonea.
Kipengele cha pili hiko,Wameomba kuvunjiwa mkataba for free.......?
Asante Kwa ufafanuzi mzuriHujaelewa bado,
Mchezaji anaitaka club, yuko tayari kuendelea kuitumikia mpaka mkataba ukiisha. Club ndo haimtaki club ndio maana inamtoa kwa mkopo kwenda club ingine.
Mchezaji alichofanya ni kuwakumbusha tu kua yeye alisajiliwa kuichezea Yanga, kama hawamtaki basi ni heri wamuache moja kwa moja.
Sidhani kama hili ndo tatizo.Mchezaji haitaki club na barua kisha wasilisha Yanga. Kiutaratibu ambaye hamtaki mwenzake anatakiwa amlipe.
Ndio maana mchezaji akiachwa na club ndani ya mkataba club lazima imlipe na mchezaji akiiacha club naye anatakiwa kununua gharama za mkataba wake.
Kwa mujibu wa sheria za FIFA Club inatakiwa kuongea na mchezaji kisheria ikiwa imebaki miezi sita.Bangala na Djuma wana mwaka mmoja so club ikiongea na mchezaji pasipo ruhusa ya club inayo mmiliki ni kosa.Mchezaji ana thamani, kabakisha muda mfupi wa kimkataba, anapata timu, unataka kumuuza kwa bei kubwa ambayo timu nyingine haziwezi kulipa sababu wanajua wana nafasi ya kumpata bure baada ya muda mfupi.
Na ndio tatizo la mikataba mifupi mifupi. Huwa si mizuri mchezaji akifanya vizuri sana sokoni akaonekana, vilabu vikijua mkataba ni mfupi vinaenda kwa mchezaji moja kwa moja.
Sio tatizo taratibu zikifuata.Sidhani kama hili ndo tatizo.
Huyu jamaa ana fatigue kali sana kwa sasaSimba hamna kiungo wala beki, changamkieni Bangala