ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kipindi bangala ana sema uwezekano wa kubaki Yanga ni 20% ulielewa niniHujaelewa bado,
Mchezaji anaitaka club, yuko tayari kuendelea kuitumikia mpaka mkataba ukiisha. Club ndo haimtaki club ndio maana inamtoa kwa mkopo kwenda club ingine.
Mchezaji alichofanya ni kuwakumbusha tu kua yeye alisajiliwa kuichezea Yanga, kama hawamtaki basi ni heri wamuache moja kwa moja.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app