Yanga yashtakiwa tena TFF

Yanga yashtakiwa tena TFF

Hujaelewa bado,
Mchezaji anaitaka club, yuko tayari kuendelea kuitumikia mpaka mkataba ukiisha. Club ndo haimtaki club ndio maana inamtoa kwa mkopo kwenda club ingine.

Mchezaji alichofanya ni kuwakumbusha tu kua yeye alisajiliwa kuichezea Yanga, kama hawamtaki basi ni heri wamuache moja kwa moja.
Kipindi bangala ana sema uwezekano wa kubaki Yanga ni 20% ulielewa nini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Jaman hv mmesikia wap kwamba wameishtaki yanga? Wabongo mna nn lakini? Yan mchezaji aombe kuvunja mkataba coz hana furaha au haja ya kuendelea na klabu, then club inampa option 2, 1)timu inatokutaka ije mezani tuzunguzme 2) Kama unataka kuvunja mwenyew basi lipa kiasi fulan uwe huru... Hapo yanga walichokosea ni nn haswa? Acheni ujinga na upotoshaji.. hapo ili wachomoke ni hizo vipengele viwili au cha tatu basi waende kwa mkopo basi
 
Yanga haijiabishi bali mchezaji ana mkataba, so timu inayo mtaka ije na uzuri mchezaji ndiye aliye andika barua ya kuvunja mkataba, so yy ndiye anatakiwa akae na Yanga then Yanga wampe gharama ya mkataba wake anaotakiwa kulipa.

Ndio sheria za mpira zipo hivyo Fabrigas aliomba kuvunjiwa mkataba,Arsenal mwanzo ikakataa baada ya kuona mchezaji anakomaa kwenda Barca ,wakamwambia alipe mil 35 basi Barca wakatoa hela then mchezaji kaachiwa.

Mkataba hauvunjwi hivyo atakavyo mchezaji. Ila huu ujinga tume utaka wenyewe kuchanganya mpira na siasa na haswa swala la Fei,tumeliamua kisiasa na si kwa sheria za mpira. Ila ndio mpira wetu kivyetuvyetu.

Wenzetu UK maamuzi ya chama cha soka haya ingiliwi hata na malkia kama umeonewa nenda CAS,ule mwaliko ndio ukawavuruga Yanga na viongozi vya TFF.
Mama aliibaka yanga swala la fei
 
At least kama Mkataba kuvunjwa ni ngumu basi wawaruhusu waendelee kuitumikia team kama walivoomba

Hapo kuna ugumu gani?
Hakuna ugumu ila kile kipigo Cha 2-0 kutoka makolo msimu ulioisha dah???
 
Habari wakuu,

Katika hali inayoonekana kuwa ya kushangaza Klabu ya Soka ya Yanga yenye Makao Makuu yake mitaa ya Twiga na Jangwani imepata mashtaka mengine tena TFF.

Wachezaji Yanic Bangala na Djuma Shaban raia wa Congo.

Wameingia katika mgogoro mzito wa kimkataba na Klabu ya Yanga.

Wachezaji hao ambao hawakutambulishwa siku ya kilele cha Wiki ya Wananchi, Yanga Day wana madai yafuatayo;

1. Wachezaji wana mkataba wa mwaka mmoja wanaotaka waendelee kuitumikia yanga. Yanga hawapo tayari.

2. Wachezaji wameomba kuvunjiwa mikataba na kwenda timu nyingine, Yanga wamegoma kuwavunjia mikataba.

Itakumbukwa siku za karibuni Yanga walikuwa na mgogoro na Kocha wao wa zamani Luke Emly (Manyani) aliyewashtaki Yanga FIFA, Feisal Salum nae aliishtaki Yanga TFF.

Simba hamna kiungo wala beki, changamkieni Bangala.
Inaonekana unamkubali Sana Bangala maana kila Uzi unakazia Simba wamsajili... Mbona kwenye hiyo nafasi naona kabisa Simba wapo Bora maana Bangala NI mzuri akicheza kiungo mkabaji Ila ukitaka acheze full beki utajuta... Labda michuano ya ndani lakini CAF champions League Hana utajuta
 
Hawako Bora kuizidi yanga.
Aucho.
Mudathiri.
Sure boy.
Zoazoa.
.................................
Kanute.
NGOMA.
Mzamiru.
Na huyo mtoto

Simba inatatizo hapo tangu Lwanga Aondoke.
 
Halafu husi ziongelee timu nyingine hali yao kiuchumi, kwani dirisha halijafungwa au may be unalijua dau la Bangala na Djuma au timu zinazo wataka.
Unadhani najali basi kuhusu yote unayosema? Mm nachojua janja janja mingi mwisho ni kuangukia pua. Janja janja atajulikana tu.
 
Yanga haijiabishi bali mchezaji ana mkataba, so timu inayo mtaka ije na uzuri mchezaji ndiye aliye andika barua ya kuvunja mkataba, so yy ndiye anatakiwa akae na Yanga then Yanga wampe gharama ya mkataba wake anaotakiwa kulipa.

Ndio sheria za mpira zipo hivyo Fabrigas aliomba kuvunjiwa mkataba,Arsenal mwanzo ikakataa baada ya kuona mchezaji anakomaa kwenda Barca ,wakamwambia alipe mil 35 basi Barca wakatoa hela then mchezaji kaachiwa.

Mkataba hauvunjwi hivyo atakavyo mchezaji. Ila huu ujinga tume utaka wenyewe kuchanganya mpira na siasa na haswa swala la Fei,tumeliamua kisiasa na si kwa sheria za mpira. Ila ndio mpira wetu kivyetuvyetu.

Wenzetu UK maamuzi ya chama cha soka haya ingiliwi hata na malkia kama umeonewa nenda CAS,ule mwaliko ndio ukawavuruga Yanga na viongozi vya TFF.
Kwa nn unaita Mwaliko? Sema ukweli... ule UBWABWA ndo umewaponza! Punguzeni UROHO
 
Aloooooooooooo.
watu wanateseka na yanga yetuuuuuu
 
yanga mpaka sasa Ina wachezaji 15 na inaongeza mchezaji mwingine. wanawaiga Simba lakini Simba inajitahidi kumalizana na wachezaji wake vizuri hivyo tusubiri kesi nyingine FIFA
 
Unadhani najali basi kuhusu yote unayosema? Mm nachojua janja janja mingi mwisho ni kuangukia pua. Janja janja atajulikana tu.
Janja janja nini.....wakati mikataba ipo.
 
Back
Top Bottom