Yanga yashtakiwa tena TFF

Kati ya Yanga na Wachezaji nani ambae hamtaki mwengine? Huyo ambae hamtaki mwengine ndie mwenye jukumu la kuvunja huo mkataba.
 
Umbeya unakusumbua sana

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kati ya Yanga na Wachezaji nani ambae hamtaki mwengine? Huyo ambae hamtaki mwengine ndie mwenye jukumu la kuvunja huo mkataba.
Mchezaji haitaki club na barua kisha wasilisha Yanga. Kiutaratibu ambaye hamtaki mwenzake anatakiwa amlipe.

Ndio maana mchezaji akiachwa na club ndani ya mkataba club lazima imlipe na mchezaji akiiacha club naye anatakiwa kununua gharama za mkataba wake.
 
Hujaelewa bado,
Mchezaji anaitaka club, yuko tayari kuendelea kuitumikia mpaka mkataba ukiisha. Club ndo haimtaki club ndio maana inamtoa kwa mkopo kwenda club ingine.

Mchezaji alichofanya ni kuwakumbusha tu kua yeye alisajiliwa kuichezea Yanga, kama hawamtaki basi ni heri wamuache moja kwa moja.
 
Bangala na Djuma walisha kabizi barua kwa Yanga wanataka kuvunja mkataba,japo Yanga hawaja confirm ila thread zipo humu JF na Wasafi washawahi kuongea na Yanga kutoku confirm wamekaa kimya wana maana yao sababu wanajua mchezaji ndiye anayetakiwa kuwalipa.

Halafu brother ukishakuwa na mkataba na timu,club ndio yenye maamuzi either ikuuze au ikutoe kwa mkopo au ukae benchi na kuhusu Yanga kutaka kuwatoa kwa mkopo hizo habari siku zisikia ,Yanga sasa hivi kwakuwa wachezaji ndio waliotaka kuvunja mkataba basi Yanga wanadai hela yao.
 
Kwa magumu aliyopitia Fei Toto kutoka Yanga alipotaka kuvunja mkataba sidhani kama kuna mwengine angethubutu kufanya hivyo.

Yanga ilianza kuwatuhumu hawa kua vinara wa ku mobilise migomo na sometimes kufungisha pia. Hivyo wakaanza kujiandaa kuwatoa kwa mkopo sababu mikataba yao haijaisha bado.

Barua za hawa ni baada ya kuona timu haina tena mpango nao. Ila lolote lawezekana pia.

 

Swala la Fei ugumu aliutia mwenyewe sababu hakutaka kufuata taratibu na ndio mistake tuliofanya sisi Yanga na TFF kiujumla kutokusimamia maamuzi yao kisa mwaliko, ndio maana hawa nao wanataka kufanya uhuni kama wa Fei.

Jamaa hao walikabizi barua za kuvunja mkataba kwa Yanga, tena kipindi kile cha usajili tena ghafla ndio maana umewaona Yanga wamekaa kimya wanajua wao ndio wanatakiwa kulipa, subiri hii issues ikienda TFF hao jamaa yako hawatoboi,tupo hapa JF.

Halafu kwani Bangala na Djuma walikuwa hawachezi mpaka useme walikuwa hawapo kwenye mpango wa club.Kuwa kwenye mipango ya club sio lazima uanze kwenye kikosi cha kwanza hivi unazani hili lundo la wachezaji walio sajiliwa Simba na Yanga unazani wote wataanza?

👇👇👇 soma hii thread nani alikuwa wa kwanza kuvunja mkataba.

 
Wamdai sio kumpeleka kwa mkopo.Kama wachezaji wanataka mkataba uvunjwe uvunjwe kisha taratibu zifuatwe.
 
Wamdai sio kumpeleka kwa mkopo.Kama wachezaji wanataka mkataba uvunjwe uvunjwe kisha taratibu zifuatwe.
Unajua nini maana ya mkataba kuvunjwa?
Hamna kitu kama hicho mkataba uvunjwe then zifuate taratibu ,inatakiwa zianze taratibu/makubaliano baada ya hapo mkataba uvunjwe, maana nao watakuwa wanarudia kilekile cha fei.

Wachezaji kama wanataka mkataba kuvunjwa, maana yake wachezaji wanatakiwa kununua sehemu ya mkataba wao uliobakia kwa kukaa na timu inayo wamiliki na ndicho Yanga anacho kisubiri.

Kama wameenda TFF sawa,huko ndipo Yanga atapata haki yake kwa haraka na kiurahisi.
 
Mpaka waende tff ina maana kuna kitu hakijakaa sawa klabuni maana wanahisi klabu inawaonea.
 
Mpaka waende tff ina maana kuna kitu hakijakaa sawa klabuni maana wanahisi klabu inawaonea.
Wanahisi...........nini?Okay tutakutana huko huko TFF, ila nina kwambia tukifuata sheria ,Yanga anashinda kweupe na ndio maana wamekaa kimya.

Yaani mkataba mvunje wenyewe then muonewe huruma.
 
Asante Kwa ufafanuzi mzuri
 
Sidhani kama hili ndo tatizo.
 
Kwa mujibu wa sheria za FIFA Club inatakiwa kuongea na mchezaji kisheria ikiwa imebaki miezi sita.Bangala na Djuma wana mwaka mmoja so club ikiongea na mchezaji pasipo ruhusa ya club inayo mmiliki ni kosa.

Swala la bei ni swala ya club inayo mmiliki, wao ndio waamuzi wa mwisho,PSG Mpape kabakisha mwaka mmoja,kawagomea kusaini mkataba mpya PSG wamemweka Sokoni sababu wamesikia (hawaja thibitisha) Madrid washafanya mazungumzo ya awali na mchezaji ili akimaliza mkataba aende free,so PSG wamesema mwenye USD 500 m+ aende na hayupo kwenye mpango wa club na Mbape haja safiri na timu kwa ajili ya pre-season.Wasaudi washafika,USD 800m+.

Halafu husi ziongelee timu nyingine hali yao kiuchumi, kwani dirisha halijafungwa au may be unalijua dau la Bangala na Djuma au timu zinazo wataka.
 
Kama ni kweli basi kuna shida , ujinga mtupu na kutojali mikataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…