Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Ukiweka ushabiki pembeni Yanga wamefanya uamuzi mzuri. Hii ni Afrika isingekuwa jambo la busara kuwatangazia watu kuwa nusu ya wachezaji wana Covid
 
Mipango duni
Ratiba ya mechi za kimataifa inajulikana
Yanga day ratiba ilishapangwa
 
Kumbuka na kilele cha wananchi kipo mwisho wa wiki hii yaani Jumapili, Je utasafiri lini na kufika Dar es Salaam na pia uzinduzi wa jezi za wananchi lazima ufanyike Dar es Salaam kwa wachezaji wote....
Mkuu mambo yote hayo (kilele cha mwananchi na jezi) ni ya kibiashaa, lakini pre-season ni jambo la kiufundi. Yanga imechagua biashara mbele ya ufundi
 
Mipango duni
Ratiba ya mechi za kimataifa inajulikana
Yanga day ratiba ilishapangwa
Nusu ya timu Ina Corona ,wengine wanaenda kucheza timu ya taifa na wengine kurudi ,waliowekwa karantini ni wengi ,ukitoa Tena wanaoenda kucheza timu za timu inakuwa heri wale wachache wanaobaki warudi tu mapema.

Yanga sijui wanaficha nini kwani Corona ni aibu?
 
Karantini ya Corona ni siku ngapi mkuu?
 
Kuigaiga ni kubaya sana na sasa nadhani mtakuwa mmekoma kwani mmejiabisha mno tu. Mkome!!

Eti Corona yaani Morocco nzima Corona iwatisheni nyie tu na Timu zingine isiwatishe huko?

Hela ya Kisinda ilikuwa ya Kuwapeleka Watu 3 tu Kutalii Morocco nyie mmeenda Watu 47.

Wachezaji kutwa ni Kunya Kunya tu hovyo Maliwato za Morocco kwanini msichokwe huko?

Hao mnaowaiga na hamuwawezi kumbukeni wapo katika top 10 Klabu Bora Afrika sawa?

Siku zingine mkitaka Kuongopa nitafuteni niwafundishe Kuongopa na msishtukiwe sana.

Na wanaosifika kwa Kuchafua mno Maliwato za Morocco ni Mayele, Aucho, Kaseke na Fei Toto.
 
Kuigaiga ni kubaya sana na sasa nadhani mtakuwa mmekoma kwani mmejiabisha mno tu. Mkome!!

Eti Corona yaani Morocco nzima Corona iwatisheni nyie tu na Timu zingine isiwatishe huko?...
Sawa
 

Top 10 klabu bora Africa? Mkuu acha uongo Simba inashika nafasi ya 16 inapoint 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…