Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mbona mikia mnaongea sana,timu yenu mbona inarudi pia?Hayatuhusu kivipi. Fanyieni mambo yenu uvunguni uone kama tutajadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mikia mnaongea sana,timu yenu mbona inarudi pia?Hayatuhusu kivipi. Fanyieni mambo yenu uvunguni uone kama tutajadili
Nasema hivi, Yanga wamekaa kambini siku tatu, Simba siku kumi na tano! Wewe unaangalia siku ya kurudi, huangalii kuwa Simba alitangulia muda tu!
Hata hivyo wanaorudi ni wachezaji wa Simba SC walioitwa Timu ya Taifa.Nasema hivi, Yanga wamekaa kambini siku tatu, Simba siku kumi na tano! Wewe unaangalia siku ya kurudi, huangalii kuwa Simba alitangulia muda tu!
Mbona mikia mnaongea sana,timu yenu mbona inarudi pia?
jibu hoja acha lopolopo nyani wa mkwepa kodi jiesiemuMbumbumbu at your own peak, hii laana ya Aden Rage ya UMBUMBUMBU inaendelea kuwatafuna
Na mikia wanarudi wamekutana na Yanga AirportWanarudi wachezaji walioitwa Team ya Taifa.Kambi ya Simba bado ipo.Vipi sisi Yanga,kwahiyo ni joto kali ndiyo limesababisha tuvunje kambi yetu [emoji3][emoji3]
Hapana nimekugundua wewe unamatatizo ya akili.tunahangaika hapa na wewe kumbe kazi bure.Mbumbumbu at your own peak, mkuu mazingira sio mandhari tu, ila kuna mazingira ya kiakili, kimwili, kisaikolojia na mambo mengine mengi
Na mikia wanarudi wamekutana na Yanga Airport
Ungeachana nao hao mikia,tukiwaambia timu lao linaendeshwa kienyeji wanabisha,hamna taarifa ya kweli wanayopewa,walikua wanaicheka Yanga kurudi moroco baada ya siku 10 ambazo toka wanaondoka kambi yao tunajua ni ya siku 10,mikia wamekuja kushtukia timu lao na lenyewe lipo airport tu linarudi bongo bila taarifa yyt,idara yao ya habari itamkumbuka sana manaraWachezaji wa simba na Yanga wakutana uwanja wa ndege katika maandalizi ya kurudi nchiniView attachment 1904723
Labda na akina Sarpong wanakuja kuripoti kwenye kambi ya timu ya Taifa ya TanzaniaNakwambia Wachezaji wa Simba wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa peke yake.Haya tuambieni,mmeridhika na sababu aliyowapeni chawa wa GSM kuwa hali ya joto imepelekea kuvunjwa kwa Kambi ya Utopolo?
Yanga toka inaondoka walisema watakaa morocco siku 10,timu inafika kesho mchana,j5 wachezaji watapumzika,alhamisi na ijumaa wachezaji watashiriki shughuli za kijamii ndani ya wiki ya mwananchi,jmosi tizi j2 siku ya mwananchi,wewe andazi ulitaka Yanga warudi lini toka morocco?Nakwambia Wachezaji wa Simba wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa peke yake.Haya tuambieni,mmeridhika na sababu aliyowapeni chawa wa GSM kuwa hali ya joto imepelekea kuvunjwa kwa Kambi ya Utopolo?
✍️Ungeachana nao hao mikia,tukiwaambia timu lao linaendeshwa kienyeji wanabisha,hamna taarifa ya kweli wanayopewa,walikua wanaicheka Yanga kurudi moroco baada ya siku 10 ambazo toka wanaondoka kambi yao tunajua ni ya siku 10,mikia wamekuja kushtukia timu lao na lenyewe lipo airport tu linarudi bongo bila taarifa yyt,idara yao ya habari itamkumbuka sana manara
una uhakika? Wanaorudi ni wa wanyama walio Stars tuMbona mikia mnaongea sana,timu yenu mbona inarudi pia?
Basi hata tz hawataweka kambi tutaona hawakai kambini iwapo kule wameshindwa wachezaji nane na huku umesajili 28 unabaki na 20Ndo shida ya kulala sebuleni unakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka.
Wanaona aibu kusema kuwa ile Ofa imekwisha.
Yaani wachezaji wachache wanaghairi kuweka kambi..! Mbona Mnyama Mkali ana wachezaji kwenye Timu ya Taifa na bado Timu inajifua mpaka mwisho wa mwezi..Nyieee.
Wanaorudi Simba ni wa Taifa Stars tu, lakini Yanga Pre season ya Morocc ndio imeishaWachezaji wa simba na Yanga wakutana uwanja wa ndege katika maandalizi ya kurudi nchiniView attachment 1904723
Wasema wewe sasa not official club statementMbona Eng Her alikuwa wakati anaelezea. Kwa hio na yeye ni muongo
Yanga toka inaondoka walisema watakaa morocco siku 10,timu inafika kesho mchana,j5 wachezaji watapumzika,alhamisi na ijumaa wachezaji watashiriki shughuli za kijamii ndani ya wiki ya mwananchi,jmosi tizi j2 siku ya mwananchi,wewe andazi ulitaka Yanga warudi lini toka morocco?
Ilikua wakae mama wewe,angalia ratiba ya timu wiki hii halafu ndio utajua kwanini timu imewahi kurudiKwani ukiwa mkweli itakugharimu nini? Yanga imekaa siku 10 Morroco? Mbona unajitoa ufahamu kiasi hiki? Kwahiyo unataka kusema Eng Hersi ni muongo kutumiw haya maneno “tumesitisha kambi yetu sababu ya hali ya hewa kuwa ya joto kali...
Mawazo yako ndiyo wewe , bisha .Wachezaji wamechoka kuingiliwa kinyume cha maumbile huko
Wenye akili watakuelewa.Mbumbumbu wengi hawana reasoning
1.Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam...