Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Nasema hivi, Yanga wamekaa kambini siku tatu, Simba siku kumi na tano! Wewe unaangalia siku ya kurudi, huangalii kuwa Simba alitangulia muda tu!

Na pia hata hao Wachezaji wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa.Kambi ya Simba bado ipo.Hawa ni Mwanasport wanaamua kwa makusudi kutoa habari nusu ili kuwapa ahueni Yanga ya kichekwa.
 
Nasema hivi, Yanga wamekaa kambini siku tatu, Simba siku kumi na tano! Wewe unaangalia siku ya kurudi, huangalii kuwa Simba alitangulia muda tu!
Hata hivyo wanaorudi ni wachezaji wa Simba SC walioitwa Timu ya Taifa.

Kambi ya Simba SC nchini Morocco inaendelea kama kawaida mpaka mwisho wa mwezi.

Hatufanani...!
 
Mbona mikia mnaongea sana,timu yenu mbona inarudi pia?

Wanarudi wachezaji walioitwa Team ya Taifa.Kambi ya Simba bado ipo.Vipi sisi Yanga,kwahiyo ni joto kali ndiyo limesababisha tuvunje kambi yetu [emoji3][emoji3]
 
Wanarudi wachezaji walioitwa Team ya Taifa.Kambi ya Simba bado ipo.Vipi sisi Yanga,kwahiyo ni joto kali ndiyo limesababisha tuvunje kambi yetu [emoji3][emoji3]
Na mikia wanarudi wamekutana na Yanga Airport
 
Mbumbumbu at your own peak, mkuu mazingira sio mandhari tu, ila kuna mazingira ya kiakili, kimwili, kisaikolojia na mambo mengine mengi
Hapana nimekugundua wewe unamatatizo ya akili.tunahangaika hapa na wewe kumbe kazi bure.
 
Na mikia wanarudi wamekutana na Yanga Airport

Nakwambia Wachezaji wa Simba wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa peke yake.Haya tuambieni,mmeridhika na sababu aliyowapeni chawa wa GSM kuwa hali ya joto imepelekea kuvunjwa kwa Kambi ya Utopolo?
 
Wachezaji wa simba na Yanga wakutana uwanja wa ndege katika maandalizi ya kurudi nchiniView attachment 1904723
Ungeachana nao hao mikia,tukiwaambia timu lao linaendeshwa kienyeji wanabisha,hamna taarifa ya kweli wanayopewa,walikua wanaicheka Yanga kurudi moroco baada ya siku 10 ambazo toka wanaondoka kambi yao tunajua ni ya siku 10,mikia wamekuja kushtukia timu lao na lenyewe lipo airport tu linarudi bongo bila taarifa yyt,idara yao ya habari itamkumbuka sana manara
 
Nakwambia Wachezaji wa Simba wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa peke yake.Haya tuambieni,mmeridhika na sababu aliyowapeni chawa wa GSM kuwa hali ya joto imepelekea kuvunjwa kwa Kambi ya Utopolo?
Labda na akina Sarpong wanakuja kuripoti kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania
 
Nakwambia Wachezaji wa Simba wanaorudi ni wale walioitwa Team zao za Taifa peke yake.Haya tuambieni,mmeridhika na sababu aliyowapeni chawa wa GSM kuwa hali ya joto imepelekea kuvunjwa kwa Kambi ya Utopolo?
Yanga toka inaondoka walisema watakaa morocco siku 10,timu inafika kesho mchana,j5 wachezaji watapumzika,alhamisi na ijumaa wachezaji watashiriki shughuli za kijamii ndani ya wiki ya mwananchi,jmosi tizi j2 siku ya mwananchi,wewe andazi ulitaka Yanga warudi lini toka morocco?
 
Ungeachana nao hao mikia,tukiwaambia timu lao linaendeshwa kienyeji wanabisha,hamna taarifa ya kweli wanayopewa,walikua wanaicheka Yanga kurudi moroco baada ya siku 10 ambazo toka wanaondoka kambi yao tunajua ni ya siku 10,mikia wamekuja kushtukia timu lao na lenyewe lipo airport tu linarudi bongo bila taarifa yyt,idara yao ya habari itamkumbuka sana manara
✍️
 
Ndo shida ya kulala sebuleni unakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka.

Wanaona aibu kusema kuwa ile Ofa imekwisha.

Yaani wachezaji wachache wanaghairi kuweka kambi..! Mbona Mnyama Mkali ana wachezaji kwenye Timu ya Taifa na bado Timu inajifua mpaka mwisho wa mwezi..Nyieee.
Basi hata tz hawataweka kambi tutaona hawakai kambini iwapo kule wameshindwa wachezaji nane na huku umesajili 28 unabaki na 20

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Yanga toka inaondoka walisema watakaa morocco siku 10,timu inafika kesho mchana,j5 wachezaji watapumzika,alhamisi na ijumaa wachezaji watashiriki shughuli za kijamii ndani ya wiki ya mwananchi,jmosi tizi j2 siku ya mwananchi,wewe andazi ulitaka Yanga warudi lini toka morocco?

Kwani ukiwa mkweli itakugharimu nini? Yanga imekaa siku 10 Morroco? Mbona unajitoa ufahamu kiasi hiki? Kwahiyo unataka kusema Eng Hersi ni muongo kutumiw haya maneno “tumesitisha kambi yetu sababu ya hali ya hewa kuwa ya joto kali.....”.

Sote tunajua kuwa Yanga wameondoka hapa Dar tar 15 wamefika Morroco tar 16 wameanza mazoeozi siku iliyofuata tar 17 leo tar 23 wako njiani wanarudi.Hizo Siku 10 walizokaa Morroco ziko wapi? Punguza uongo Mkuu.
 
Kwani ukiwa mkweli itakugharimu nini? Yanga imekaa siku 10 Morroco? Mbona unajitoa ufahamu kiasi hiki? Kwahiyo unataka kusema Eng Hersi ni muongo kutumiw haya maneno “tumesitisha kambi yetu sababu ya hali ya hewa kuwa ya joto kali...
Ilikua wakae mama wewe,angalia ratiba ya timu wiki hii halafu ndio utajua kwanini timu imewahi kurudi
 
Mbumbumbu wengi hawana reasoning

1.Kilele cha wiki ya mwananchi ni tar.29/8/2021 na leo ni ni tar. 23,kwa hesabu hapo zimebaki siku sita mpaka siku hiyo kufika na timu ipo Morroco na safari yake inachukua siku mbili mpaka kufika Dar es Salaam...
Wenye akili watakuelewa.
 
Back
Top Bottom