Yanga yatangaza kumrudisha Benard Morrison

Makolo mnaikumbuka hii siku? Basi maumivu yamewarudia
 

Attachments

  • Ben.jpg
    17.2 KB · Views: 5
Kwa hatua hii maana yake, Kati ya Moloko au Ushindi mmoja ataondoka au wote kwa pamoja.

YANGA ITAKUWA HIVI KWA NIONAVYO MIMI. Nb Beki no 3 Naamini Klabu itaingia sokoni ili kujiimarisha sambamba na beki ya kati 1

View attachment 2280385
Hili kosi balaa, japo sina uhakika na huyo Kambole.
 
Yanga bora wanemchukua mchezaji yeyote ligi kuu kuliko kumrudisha msaliti mkubwa kama huyu bernad. alitukimbia klabuni huku tukiwa tunamtegemea na washabiki wengi walikesha usiku kucha kpale karume kufuatilia rufaa ya yanga ya kumrudisha bernad. yanga acheni kucheze pesa za usajili kijana huyu hana sifa za kurudishwa klabuni.
 
Na ile kesi ya shabiki mwenzenu aliyejeruhiwa baada ya kumwita Morrison mwizi was magari mtaifuta.
Kweli utopolo ni chuo cha kuzalisha wajinga.
 
Ukimtoa baba yangu na Mzee kikwete yanga wote ni kama hamnazo hivi mwisho wa kumnukuu haji manara
Sio Vzr Kututukana Sisi wote mashabiki na wanachama Wa Yanga Kwa Maamuzi Ya Viongozi Wa Yanga.
.
Leo Ukiuliza Wanachama na mashabiki Wa Yanga Kama wanakubaliana na Morrison Kurudi Yanga wengi Watakataa Ila Kwa vile Viongozi ndio wanafanya Usajili, Wanachama hawana namna Zaidi ya kukubali.
.
Maisha ya Soka Ni Kama Maisha Ya Mwanasiasa, Mchezaji Yoyote Hana Adui Wa Kudumu.
.
Ila Sijui ila kiukweli kwa BM3, Wananchi tunanunua tatizo.
.
Ana kipaji, Yes, lakini nidhamu ni kila kitu. Morisson hafugiki.
.
Amethibitisha hivyo vilabu vyote alivyopitia kutoka Sauz mpaka hapa.
.
Wasiwasi wangu asipeleke negative energy kwenye dressing room itakuwa balaa.
.
_Anyway viongozi Yanga Waliohamua Kumrudisha wanajua zaidi Kuliko Sisi Wanachama na mashabiki Wa Yanga.
.
Wanasema Better the devil u know than the angel u don't know [emoji3][emoji3][emoji3]
.
Tuwaachie viongozi, wanajua zaidi, Sisi Wanazengo Tuendelee kumwagilia moyo tukifurahia Treble.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…