Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Pamoja Na Yote Hayo Lakini Jamaa Boli Anajua... [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata uwe mzuri vipi bila nidhamu ni kazi bureSimba tumepoteza mchezaji mzuri sana.....ukweli utakuweka huru!!!!!
Ikiwa hivi Mkishindwa kufika Hatua za makundi CAF mtakua mmerogwaKwa hatua hii maana yake, Kati ya Moloko au Ushindi mmoja ataondoka au wote kwa pamoja.
YANGA ITAKUWA HIVI KWA NIONAVYO MIMI. Nb Beki no 3 Naamini Klabu itaingia sokoni ili kujiimarisha sambamba na beki ya kati 1
View attachment 2280385
Lakini hii si sawaMwana mpotevu karudi Nyumbani.
Natambua wengi watashangaa kuona umerudi nyumbani. Ila ulizaliwa ucheze mpira Yanga SC na sio klabu nyingine tena...
Mzuri kwakoTumepoteza mchezaji mzuri sana kizembe
Wafundishe wanao hilo la kuukubali ukweli hawatakufa njaa hata siku moja!Tumepoteza mchezaji mzuri sana kizembe
Shida yenu simba na club za kibongo ni kuishi kwa kelele za mashabiki na wapinzani,Pamoja na ubora wake ni muda wa kusepa na ni maamuzi sahihi kwa uongozi,huyu mchezaji alitugharimu sana ktk mchezo dhidi ya Orlando kwa kukosa mechi ya pili.
Ni wakati muafaka sasa kuwekeza nguvu zote ktk kutafuta mbadala wa nguvu,natamani kama uongozi utapambana kumrudisha Luis aka Konde boy.
Simba pia walimpa masharti hayo lakini akayashindwa....Mwana mpotevu karudi Nyumbani.
Natambua wengi watashangaa kuona umerudi nyumbani. Ila ulizaliwa ucheze mpira Yanga SC na sio klabu nyingine tena.
Roho ilikuwa ikiniuma nankububujikwa na machozi nilipoona ukimpigia magoti Eng Hersi ukimuomba nafasi ya pili.
Ila kwa bahati nzuri na kwa moyo mwepesi akakupa fursa ya mwisho kujiunga na mabingwa wapya wa CAFCL Kwa sharti la kuzingatia nidhani.
Kwa taarifa fupi Prof Nabi amekwisha pewa faili lako lote, hivyo anakutambua vyema kuliko unavyo dhani. Kuwa makini sana maana uko katika probation period ndio maana wamekupa mkataba mfupi sana.
Ukihenya kidogo tu wamepanga kukurudisha kwenu ghana.
Kazi kwako mdogo wangu.
Ila nini inakubidi upambane kidogo hapo maana wenzako wanakuchukulia kama mchezaji back up. [emoji23][emoji23]
Karibu tena nyumbani mwana mpotevu.
View attachment 2280343
Simba walimchukua kutoka kwa yanga ila yanga wamemchukua baada ya kuachwa na simba.Chakushangaza mashabiki wa Simba wanawaona Yanga kama wamezingua wakati wenyewe walimchukua wakati walikuwa wanajua tabia zake.
Huu ndio mpira wa Bongo.
Semaji lenu lilivyowaita hamn akili hapo utopoloniMwenyekiti wenu kabisa mliemchagua kwa kura aliwaita mambumbumbu pro max
Tunashukuru kwa taarifa rasmi. Ingawa wenye Yanga yetu tulishafahamu kitambo tu.Haya ngoja tuoneView attachment 2280326
Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison
Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
Upo sahihi kabisaSio Vzr Kututukana Sisi wote mashabiki na wanachama Wa Yanga Kwa Maamuzi Ya Viongozi Wa Yanga.
.
Leo Ukiuliza Wanachama na mashabiki Wa Yanga Kama wanakubaliana na Morrison Kurudi Yanga wengi Watakataa Ila Kwa vile Viongozi ndio wanafanya Usajili, Wanachama hawana namna Zaidi ya kukubali.
.
Maisha ya Soka Ni Kama Maisha Ya Mwanasiasa, Mchezaji Yoyote Hana Adui Wa Kudumu.
.
Ila Sijui ila kiukweli kwa BM3, Wananchi tunanunua tatizo.
.
Ana kipaji, Yes, lakini nidhamu ni kila kitu. Morisson hafugiki.
.
Amethibitisha hivyo vilabu vyote alivyopitia kutoka Sauz mpaka hapa.
.
Wasiwasi wangu asipeleke negative energy kwenye dressing room itakuwa balaa.
.
_Anyway viongozi Yanga Waliohamua Kumrudisha wanajua zaidi Kuliko Sisi Wanachama na mashabiki Wa Yanga.
.
Wanasema Better the devil u know than the angel u don't know [emoji3][emoji3][emoji3]
.
Tuwaachie viongozi, wanajua zaidi, Sisi Wanazengo Tuendelee kumwagilia moyo tukifurahia Treble.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Viongozi ndio walizingua, Morrison alifuata principles zote, Narudia tena ishu ya Morrison na Yanga walizingua ni Viongozi wa YangaYanga bora wanemchukua mchezaji yeyote ligi kuu kuliko kumrudisha msaliti mkubwa kama huyu bernad. alitukimbia klabuni huku tukiwa tunamtegemea na washabiki wengi walikesha usiku kucha kpale karume kufuatilia rufaa ya yanga ya kumrudisha bernad. yanga acheni kucheze pesa za usajili kijana huyu hana sifa za kurudishwa klabuni.
Acha chuki zisizo na msingi.unachangia shilingi ngapi kwenye hiyo club.Mpira sio uadui.Yanga bora wanemchukua mchezaji yeyote ligi kuu kuliko kumrudisha msaliti mkubwa kama huyu bernad. alitukimbia klabuni huku tukiwa tunamtegemea na washabiki wengi walikesha usiku kucha kpale karume kufuatilia rufaa ya yanga ya kumrudisha bernad. yanga acheni kucheze pesa za usajili kijana huyu hana sifa za kurudishwa klabuni.