Yanga yatangaza kumrudisha Benard Morrison

Morisson sio fundi Seremala, kazi yake ni mpira, na Simba ba Yanga ndio walioaji wazuri, aachwe atengenese hela.
 
Pamoja na ubora wake ni muda wa kusepa na ni maamuzi sahihi kwa uongozi, huyu mchezaji alitugharimu sana ktk mchezo dhidi ya Orlando kwa kukosa mechi ya pili.

Ni wakati muafaka sasa kuwekeza nguvu zote ktk kutafuta mbadala wa nguvu, natamani kama uongozi utapambana kumrudisha Luis aka Konde boy.
 
"Simba is the university of Tanzanian football"

Mwisho wa kunukuu.
 
Shida yenu simba na club za kibongo ni kuishi kwa kelele za mashabiki na wapinzani,

Sasa km morisson mlimchukua wa nini tena hakuna hata na namba time mnamleta ila tu kukomoa yanga, yuule uchizi anao kitambo mkadanganyana na mikataba eti aache utovu wa nidhamu, now teena yanga wanarudia ujinga uo uo nao wanasema mikataba ya nidhamu.
Mandezi saana.

Bado na weww unamuwaza konde boy, hivi kweli hakuna wachezaji zaid yake au club bingwa zoote mnashndwa kuona wachezaji.


Mmerudisha chama, mnataka tena konde wa nini hao waatu... Mpira ni busines lazima ununue na kuuza, msing'ang'anie watu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba pia walimpa masharti hayo lakini akayashindwa....

Wameamua kumuacha,........

Tuliambiwa kuwa Senzo alitoka Simba kwa sababu ya huyu jamaa....ngoja tuone muvi ya wanautopolo....KIMEUMANA

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Chakushangaza mashabiki wa Simba wanawaona Yanga kama wamezingua wakati wenyewe walimchukua wakati walikuwa wanajua tabia zake.

Huu ndio mpira wa Bongo.
Simba walimchukua kutoka kwa yanga ila yanga wamemchukua baada ya kuachwa na simba.
Huo ndio ukweli

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa rasmi. Ingawa wenye Yanga yetu tulishafahamu kitambo tu.

Kwa sababu mpira ni ajira pia, tutamchukulia tu kama huyo kaka yake Haji Manara.
 
Upo sahihi kabisa
 
Viongozi ndio walizingua, Morrison alifuata principles zote, Narudia tena ishu ya Morrison na Yanga walizingua ni Viongozi wa Yanga
 
Acha chuki zisizo na msingi.unachangia shilingi ngapi kwenye hiyo club.Mpira sio uadui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…