Angalia anachokioffer uwanjani.hayo ya nidhamu yana utaratibu wake.Dunian hakuna mkamilifu asilimia 100 ndo maana vyombo vyakutufanya tufwate sheria na taratibu viko kila mahali.Morison watu wanamhukum kwa hisia zaidi za ushabiki kwasababu ya yaliyotokea uko nyuma kati ya hivi vilabu viwili lakini huyo jamaa utukutu wake niwakawaida sana ukilinganisha na anachokifanya uwanjani.Hayo ya nidham watajua namna yakufanya ila tumuache acheze soka letu bado linahitaji sana wachezaji wakulichangamsha ili liwe na mvuto zaidi.Hata uwe mzuri vipi bila nidhamu ni kazi bure
MambumbumbuSemaji lenu lilivyowaita hamn akili hapo utopoloni
Simba pia walimpa masharti hayo lakini akayashindwa....
Wameamua kumuacha,........
Tuliambiwa kuwa Senzo alitoka Simba kwa sababu ya huyu jamaa....ngoja tuone muvi ya wanautopolo....KIMEUMANA
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ni huyu CEO anatuuza kwa Eng Hersi.Tumepoteza mchezaji mzuri sana kizembe
Aucho na fei ndio wasimame hapo kati!? Duo nzuri ni aucho na Bangala (kwa maoni yangu) Fei mzuri akicheza mbele ya viungo wakabaji wawili (kama kiungo mshambuliaji).Kwa hatua hii maana yake, Kati ya Moloko au Ushindi mmoja ataondoka au wote kwa pamoja.
YANGA ITAKUWA HIVI KWA NIONAVYO MIMI. Nb Beki no 3 Naamini Klabu itaingia sokoni ili kujiimarisha sambamba na beki ya kati 1
View attachment 2280385
Simba tumepoteza mchezaji mzuri sana.....ukweli utakuweka huru!!!!!
Ana uzuri upi ?Tumepoteza mchezaji mzuri sana kizembe