Yanga yatangaza viingilio dhidi ya Al Hilal tar 8 October

Yanga yatangaza viingilio dhidi ya Al Hilal tar 8 October

DreezyD98

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2020
Posts
1,610
Reaction score
2,874
Kuelekea mchezo dhidi ya Al Hilal, timu ya Yanga wametangaza bei ya viingilio. Viingilio hivyo vimeainishwa kama ifuatavyo

Kiingilio cha juu zaidi ni shilingi elfu 15 kwa VIP A
10000/= kwa VIP B& C
3000/= Kwa mzunguko ukikata tickets mapema.

20220930_212959.jpg
 
Shime wananchi! Tukaujaze uwanja. Kiingilio mbuzi kabisa hicho. Yaani hata mbumbumbu fc wangeujaza uwanja.
 
Kajaeni kumuaga mgonjwa mahututi Uto. Atafia Sudane,mtazika au mtasafirisha?
Unajitoa tu ufahamu bila shaka. Ila ukweli unao moyoni mwako. Kati ya timu yako ya simba na Yanga, timu gani yenye matumaini zaidi ya kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom