Sasa hiyo ni advantage kwa young africans?Tofauti ipo la Sudan linachomoza kaskazini then linazama magharibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo ni advantage kwa young africans?Tofauti ipo la Sudan linachomoza kaskazini then linazama magharibi
Huko Sudan si ndio joto huwa linafika hadi 48'C?Safi sana yanga. Mechi kucheza saa 10 jioni wamepatia sana. Jua la dar litawachosha sana wageni.
Mgeni ukimuweka usiku anakuwa hachoki haraka..
Anasema yeye kazungumzia jua na si joto, sasa sijui jua la sudan ni jeusi ama
na Al hilal? labda walete man cityYanga watamanuliwa kinyama sana