Hao jamaa jua na joto kwa siyo ishu laiti ungeijuwa temperature ya Sudan na hapa kwetu Ni heri kujengwa uwanja makete ili tuwe tunAwapeleka kule timu zenye ukanda wa jotoSafi sana yanga. Mechi kucheza saa 10 jioni wamepatia sana. Jua la dar litawachosha sana wageni.
Mgeni ukimuweka usiku anakuwa hachoki haraka..
Uto kimataifa huaga mbovu mbovu wait and seeWaarab koko mtapata tabu sana mwaka huu. Kwa Yanga hii, bora mkaficha tu sura zenu. Maana mataaibika.
Hao jamaa jua na joto kwa siyo ishu laiti ungeijuwa temperature ya Sudan na hapa kwetu Ni heri kujengwa uwanja makete ili tuwe tunAwapeleka kule timu zenye ukanda wa joto
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata mm nimemuuliza HV hvUlikwenda shule KUTEMBEA. Ask yourself Dar &Sudan wap kuna joto?
Sawa mkuuMimi sijaongelea joto. Soma tena post yangu
Wewe puga acha wivu.FT Utopolo 0- 2 Al Hilal
Nafikiri wengi hawaijui sudanHao jamaa jua na joto kwa siyo ishu laiti ungeijuwa temperature ya Sudan na hapa kwetu Ni heri kujengwa uwanja makete ili tuwe tunAwapeleka kule timu zenye ukanda wa joto
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ulisoma Jiografia wewe ama unaropoka tu unajua joto la Khatoum lilivyokali.Safi sana yanga. Mechi kucheza saa 10 jioni wamepatia sana. Jua la dar litawachosha sana wageni.
Mgeni ukimuweka usiku anakuwa hachoki haraka..
Ulisoma Jiografia wewe ama unaropoka tu unajua joto la Khatoum lilivyokali.
Huko siyo NBC PL kwamba kuna anayepokea bahasha za khaki za giesiemu.Unajitoa tu ufahamu bila shaka. Ila ukweli unao moyoni mwako. Kati ya timu yako ya simba na Yanga, timu gani yenye matumaini zaidi ya kusonga mbele.
Hii ni dalili kuwa hata shule hukwenda tukiachilia mbali ile kauli ya manara kuwa wenye akili ni wawili tuSafi sana yanga. Mechi kucheza saa 10 jioni wamepatia sana. Jua la dar litawachosha sana wageni.
Mgeni ukimuweka usiku anakuwa hachoki haraka..
Sasa jua la sudani lina utofauti gani na la tz ukiondoa hoto? Au lina mwanga wa buluu?Mimi sijaongelea joto. Soma tena post yangu
Kwa hiyo na nyinyi huwa mnapokea hizo bahasha za khaki! Kumbe ndiyo maana mwekezaji ameamua aanze kuwatelekeza kimya kimya na kutimkia zake kwenye upromota wa ngumi!Huko siyo NBC PL kwamba kuna anayepokea bahasha za khaki za giesiemu.
Ngoja mjidanganye eti mnatimu nzuri mje mpasuliwe vipandevinde .
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
unalijua jua la khartoum wewe ?Safi sana yanga. Mechi kucheza saa 10 jioni wamepatia sana. Jua la dar litawachosha sana wageni.
Mgeni ukimuweka usiku anakuwa hachoki haraka..
Akikujibu niite mbwa nimekaa paleKwa hiyo na nyinyi huwa mnapokea hizo bahasha za khaki! Kumbe ndiyo maana mwekezaji ameamua aanze kuwatelekeza kimya kimya na kutimkia zake kwenye upromota wa ngumi!
Amegundua hamtosheki bila shaka! Haiwezekani aweke bilioni zake 20 kwenye timu! Halafu bado mnapoekea kwa siri bahasha za gi esi emu, ili mfungwe na Yanga.
Hiyo ni kazi ya lucy eymel kuwaita mbwaAkikujibu niite mbwa nimekaa pale
Hii match ni ya mashindano ipo kimkakati ndio maana ya kuweka viingilio hivyo sasa utafananisha na ile match ya hisaniOhh Simba wanaweka viingilio vidogo Ili wapate watu wengi...
Halafu wao wanaweka Buku 3
Da uto bhana
Tofauti ipo la Sudan linachomoza kaskazini then linazama magharibiSasa jua la sudani lina utofauti gani na la tz ukiondoa hoto? Au lina mwanga wa buluu?