Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Huu msimamo wa Yanga ila Kolo FC wamejaa kibao, kila timu iendelea na ilicho kiamua. Nyie mmechagua mgomo, sisi tumechagua kendelea na ligi .
Umenikumbusha ishu ya Fei, Hahaha. Mpira raha sana.
 
Ngoja kwanza, huyu ndo atatoa maamuzi kwamba mechi itarudiwa au la?
Kuna sehemu nimesema huyu ni mtoa maamuzi au amewazungumzia wenye mpira wao Afrika CAF wanavyo fanya inapotokea situation kama ya jana na kaongea kwa vipengele.
 
Eti huyu nae ni Mhandisi daah kweli elimu ya Bongo ni jau,

Tuambieni refa gani alikuwepo siku ya mechi ambayo Simba alisusa.
 
Kuna sehemu nimesema huyu ni mtoa maamuzi au amewazungumzia wenye mpira wao Afrika CAF wanavyo fanya inapotokea situation kama ya jana na kaongea kwa vipengele.
Sasa hapa kwenye hii ishu CAF haipo mkuu. Labda mkashtaki. Ila mtani huko nje nako una makesi kibao, mengine umeangukia pua.
 
Ukimwaga mboga, watu wanamwaga ugali, pumbaf.

Simba walikimbia fehdheha ya kuchapwa ila bado point 3 wamezipoteza.
 
Umenikumbusha ishu ya Fei, Hahaha. Mpira raha sana.
Sasa hapa kwenye hii ishu CAF haipo mkuu.
Sababu TFF mnawamudu, hamna kanuni inayosema timu isuse baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi.

Lazima mkumbike ya Fei sababu mnachotegemea hapa ni HEKIMA NA BUSARA.Nyie msimamo wenu mmesusa kucheza mechi zilizo bakia ,Yanga hatuna mda wa kubembeleza aliyesusa hiyo kazi ya TFF, sisi tuna subiria fixture ijayo.
 
Huyu jamaa ndio anayewapoteza maboya pale Gongowazi.

Na ujinga wa mashabiki wepesi sana kusahau.

Huyu aliwahi kuwaonesha hadi risiti ya muaziano ya Kagoma na Chawa wake akifanya upambe na kukenua meno pembeni
Your browser is not able to display this video.


Katika vitu naamini TFF na Bodi ya ligi wala haipigii mahesabu basi ni swala la kufikiria eti hivi vikao vya kusukuma muda kusubiria daku ndio vitaenda kukwamisha mchezo wanaotarajia kuupangia ratiba.
 
We unaamini uamuzi wowote wa bodi ya ligi ni sawa? Unaamini hakuna chombo,taratibu,miongozo,kanuni zinazoiongoza bodi ya ligi! Yani hata bodi ya ligi ikisema bingwa wa nbc ni kengold utaona ni sawa kisa ni bold ya ligi imesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…