Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

UUnajua taratibu za kuhaihirisha mechi? Simba wamegomea mechi kabla ya TFF kutoa tamko!! Tafsiri nyepesi ni Bodi ya ligi ni DHAIFU haijui chakufanya!!.

zs
Simba hawana mamlaka au kanuni za kuhairisha mechi, hayo mamlaka ni ya TFF.

Kugomea mechi maana yake hujaleta timu uwanjani na sio umeandika kuwa hutacheza mechi.

TFF isingehairisha mechi kisha Simba wasitokee hapo ndo ingekuwa rasmi kuwa Simba haikuleta timu na p3 halali zingepelekwa kwa Yanga.

Binafsi ndo nililotegemea, then TFF akaja akasema hakuna mechi kabla ya muda wa mechi, ikawa imeisha hiyo. Kuanzia hapo, vita vyenu si na Simba, sasa hivi mnapigana na Serikali yaani TFF.
 
Sasa point tatu zitatolewa kwa vigezo gani na mechi ilihairishwa? TFF kupitia bodi ya ligi si ilifuta hii mechi?

Hawajasoma hata vigezo vya kutoa point tatu iwapo timu itasusa mchezo?

Halafu hawajasoma kuwa mechi ilihairishwa kwa mamlaka ya kifungu kipi?
Hivi kwa hoja kama hii, yule mzee aliyesema wengine mashabiki wa simba ni mbumbumbu mnadhani alikosea? barua ya yanga inajieleza kila kitu afu mtu anauliza wapewe point tatu kivipi, sijui ni ushabiki au ndio IQ ipo kwenye level ya floor!
 
Hivi kwa hoja kama hii, yule mzee aliyesema wengine mashabiki wa simba ni mbumbumbu mnadhani alikosea? barua ya yanga inajieleza kila kitu afu mtu anauliza wapewe point tatu kivipi, sijui ni ushabiki au ndio IQ ipo kwenye level ya floor!
Barua ya Yanga haitoi point 3, kanuni ndo zinatoa. Sasa rudi kwenye kanuni ujiulize Simba kavunja kanuni ipi kwa kutokuleta timu kwenye mechi iliyohairishwa na TFF.

Labda utumike ubabe, kinyume na hapo hakuna namna.
 
Watakuwa walidhulumiana hawa wapo kwenye usuluhishi halafu sisi wanatutangazia habari nyingine.
Yaan Kikao mmekaa mmefanya mtandaoni? Mnadai point 3 mkiwa kila mtu yupo kwake😂😂 point 3 na magoli matatu mkitumia zoom meeting Au WebEx?

Haya hii barua mbovu hivi isiyo na mashiko bila shaka ameamdika kamwe?

Mbona hamjaelezea walinzi wenu kuwazuia Simba kuingia uwanjani?
 
Huu msimamo wa Yanga ila Kolo FC wamejaa kibao, kila timu iendelea na ilicho kiamua. Nyie mmechagua mgomo, sisi tumechagua kendelea na ligi .
 
Hatimaye Mungu ametenda, kishanusuru mpira wa Tanzania na pia kishanusuru Siasa za nchi
 
Back
Top Bottom