Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hawana mamlaka au kanuni za kuhairisha mechi, hayo mamlaka ni ya TFF.UUnajua taratibu za kuhaihirisha mechi? Simba wamegomea mechi kabla ya TFF kutoa tamko!! Tafsiri nyepesi ni Bodi ya ligi ni DHAIFU haijui chakufanya!!.
zs
Hicho kikao hakina utofauti na Kikoba
Watakuwa walidhulumiana hawa wapo kwenye usuluhishi halafu sisi wanatutangazia habari nyingine.Chief bora kikoba wanajadili pesa ni Kikao Cha wambea mtaani
Hivi kwa hoja kama hii, yule mzee aliyesema wengine mashabiki wa simba ni mbumbumbu mnadhani alikosea? barua ya yanga inajieleza kila kitu afu mtu anauliza wapewe point tatu kivipi, sijui ni ushabiki au ndio IQ ipo kwenye level ya floor!Sasa point tatu zitatolewa kwa vigezo gani na mechi ilihairishwa? TFF kupitia bodi ya ligi si ilifuta hii mechi?
Hawajasoma hata vigezo vya kutoa point tatu iwapo timu itasusa mchezo?
Halafu hawajasoma kuwa mechi ilihairishwa kwa mamlaka ya kifungu kipi?
Yanga pia wenye akili tunawafahamuHivi kwa hoja kama hii, yule mzee aliyesema wengine mashabiki wa simba ni mbumbumbu mnadhani alikosea? barua ya yanga inajieleza kila kitu afu mtu anauliza wapewe point tatu kivipi, sijui ni ushabiki au ndio IQ ipo kwenye level ya floor!
Tukupe uenyekitiUUnajua taratibu za kuhaihirisha mechi? Simba wamegomea mechi kabla ya TFF kutoa tamko!! Tafsiri nyepesi ni Bodi ya ligi ni DHAIFU haijui chakufanya!!.
zs
Barua ya Yanga haitoi point 3, kanuni ndo zinatoa. Sasa rudi kwenye kanuni ujiulize Simba kavunja kanuni ipi kwa kutokuleta timu kwenye mechi iliyohairishwa na TFF.Hivi kwa hoja kama hii, yule mzee aliyesema wengine mashabiki wa simba ni mbumbumbu mnadhani alikosea? barua ya yanga inajieleza kila kitu afu mtu anauliza wapewe point tatu kivipi, sijui ni ushabiki au ndio IQ ipo kwenye level ya floor!
Yaan Kikao mmekaa mmefanya mtandaoni? Mnadai point 3 mkiwa kila mtu yupo kwake😂😂 point 3 na magoli matatu mkitumia zoom meeting Au WebEx?Watakuwa walidhulumiana hawa wapo kwenye usuluhishi halafu sisi wanatutangazia habari nyingine.
Mnacheza Au Hamchezi? Tuulizane kwanzaMaigizo twende na hii movie hadi mwisho
Hii mechi itapigwa
Upuuzi mtupu..kwani wangeruhusiwa kufanya mazoezi yangetokea haya. Na bado tunakuja maamuzi magumu ya upuuzi wenu wa kuruka ukuta kila.mechi na simbaHii ngoma Simba waliipanga. Waliisuka kabisa iwe hivi ilivyokuwa na walikuwa dhahiri wana backup ambayo ni TFF.
Ila Yanga wanapenda sana kujitoa ufahamu. Eti wanawanyooshea kidole Kamati kwa madai ya kuwa na mfululizo wa kukiuka kanuni. Nigga, wewe ndio una mfululizo wa kukiuka kanuni. Kwenye hii derby yenyewe umekiuka kanuni kibao tu.
Barua ya Yanga haitoi point 3, kanuni ndo zinatoa. Sasa rudi kwenye kanuni ujiulize Simba kavunja kanuni ipi kwa kutokuleta timu kwenye mechi iliyohairishwa na TFF.
Labda utumike ubabe, kinyume na hapo hakuna namna.