Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Yanga hakuvunja kanuni inayosema mattch iahirishwe.Hili nakubali,sasa naimba nijibu na mimi swali hili,

Je nani alithibitisha kuwa Yanga ulifika uwanjani?
Kamisaa wa mchezo aliandika report ipi?

Nani alikua Refa akaheshabu dakika na kumaliza mchezo kama kanuni inavuotakiwa ili upate point 3?
Wapo km kitenesi😂😂
 
Ikatwe point,
Simple.

Majibu ya swali lako.
Tumeenda uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY,Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.

Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kama TFF wakikosea?
 
Tff na bodi wanaweza kuandaa mechi na mgeni rasmi akawa mtu "mkubwa"nchini huku akiwataka waje kucheza hapo nadhani viongozi wanaweza kubadili msimamo
huyo mkubwa aingie mkenge kukubali mwaliko wa kipumbavu kama anataka kuaibika
 
Simple.

Majibu ya swali lako?
Tumeenda uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY? Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.

Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kaa TFF wakikosea?
Nikuulize sasa?
 
Yanga wanajitekenya hakuna pointi za mezani walete timu uwanjani ishindane kwa haki
 
Kaka unakichwa kigumu sana kuelewa, yaan ni hivi wenye mpira wao waliahirisha mechi baada ya timu ya Simba kulalamika kwao kuwa hawakupewa haki Yao ya kikanuni kafanya zoezi kwenye uwanja ambao mchezo utafanyika na muda ule ule wa mchezo wakalalamika kwa barua kwenda bodi ya ligi na kisha kwa press na wakatishia kutoshiriki mchezo huo namba 148
Bodi wakapitia malalamiko hayo wakaona Yana mashiko waka ahirisha mchezo, Sasa kama wangekuta hakuna mashiko wangewaambia Simba mechi iko pale pale na hapo ndio Simba wasingetokea basi point tatu zingeenda yanga...
Mchezo uliahirishwa ndio maana yanga hawakukuta waamuzi, match com etc etc

Usipoelewa na hapa basi tena

Atakusumbua sana huyu,,,WANATUMIA MOYO (HISIA) KUFANYA MAAMUZI
 
Yanga alipeleka Team uwanjani?
Tulipeleka timj uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY? Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.

Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kaa TFF wakikosea?

Au unajibu lako? Jibu hilo hapo kama unayo mengine uliza.
 
Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kaa TFF wakikosea?
Hahaha, Ok. Embu tuyajadili makosa ya TFF. Tuanze na kosa la kughairi mechi, wamevunja kanuni ipi?
 
Sasa point tatu zitatolewa kwa vigezo gani na mechi ilihairishwa? TFF kupitia bodi ya ligi si ilifuta hii mechi?

Hawajasoma hata vigezo vya kutoa point tatu iwapo timu itasusa mchezo?

Halafu hawajasoma kuwa mechi ilihairishwa kwa mamlaka ya kifungu kipi?
Soma vizuri barua husika
 
Unazijua sababu zanazoweza kusababisha mchezo ukaahirishwa?
Nakupa ya Simba wapi walipitia...
Soma barua ya bodi ya ligi ya kuahirisha mchezo huo utagundua kwa Nini mechi oliahirishwa.
Sababu za Simba zilizokunaliwa na bodi
1. Walinyimwa haki Yao ya kikanuni kufanya mazoezi
2. Walikaa muda mrefu pale uwanjani kuanzia saa 12 jioni Hadi tatu na nusu usiku
3. Waliondoka na kufika mbweni saa sita usiku
4. Wachezaji wenye Imani ya kiislam walifuturu ndani ya basi pale uwanjani na wengine hawakufuturu Wala kuswali kabisa
5. Fujo iliyokuwa getini iliwatoa wachezaji mchezoni hivyo hawakuwa tayari kwa mchezo

Sababu hizi zilitosha kuahirisha mchezo

Slagan ya Fifa football is competitive fair game
 
Hahaha, Ok. Embu tuyajadili makosa ya TFF. Tuanze na kosa la kughairi mechi, wamevunja kanuni ipi?
Yanga inataka kujua TFF kughalisha ile mechi sababu ya kususa walitumia vifungu gani? Kwani hawa kuwataarifu OFFICIALLY maana wao hawakupata taarifa za mechi kughairishwa..... sasa kama wasipo wajibu,kuna mawili kuwawajibisha au mkubwa hakosei tutumie hekima na busara.
 
Sehemu gani, itaje ili tuijadili mkuu, tupo pamoja sana.
Snapinsta.app_483196805_18059686901501660_1758982673497521479_n_1080.jpeg
 
Back
Top Bottom