KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 225
- 349
Wapo km kitenesi😂😂Yanga hakuvunja kanuni inayosema mattch iahirishwe.Hili nakubali,sasa naimba nijibu na mimi swali hili,
Je nani alithibitisha kuwa Yanga ulifika uwanjani?
Kamisaa wa mchezo aliandika report ipi?
Nani alikua Refa akaheshabu dakika na kumaliza mchezo kama kanuni inavuotakiwa ili upate point 3?
Timu isiyokuja uwanja inatakiwa ifanywe nini?
Wana-set agenda tu,washawajua watu wao fata upepo.WaannaanMechi imeahirishwa unaletaje timu,, hivi mkinywaga Yale ma supu yenu huwa mnakosa akili eti..
Simple.Ikatwe point,
huyo mkubwa aingie mkenge kukubali mwaliko wa kipumbavu kama anataka kuaibikaTff na bodi wanaweza kuandaa mechi na mgeni rasmi akawa mtu "mkubwa"nchini huku akiwataka waje kucheza hapo nadhani viongozi wanaweza kubadili msimamo
Nikuulize sasa?Simple.
Majibu ya swali lako?
Tumeenda uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY? Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.
Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kaa TFF wakikosea?
Hili nalo swali? Kwani kuna sehemu nimekukataza kuuliza swali?Nikuulize sasa?
Yanga alipeleka Team uwanjani?Hili nalo swali? Kwani kuna sehemu nimekukataza kuuliza swali?
Kaka unakichwa kigumu sana kuelewa, yaan ni hivi wenye mpira wao waliahirisha mechi baada ya timu ya Simba kulalamika kwao kuwa hawakupewa haki Yao ya kikanuni kafanya zoezi kwenye uwanja ambao mchezo utafanyika na muda ule ule wa mchezo wakalalamika kwa barua kwenda bodi ya ligi na kisha kwa press na wakatishia kutoshiriki mchezo huo namba 148
Bodi wakapitia malalamiko hayo wakaona Yana mashiko waka ahirisha mchezo, Sasa kama wangekuta hakuna mashiko wangewaambia Simba mechi iko pale pale na hapo ndio Simba wasingetokea basi point tatu zingeenda yanga...
Mchezo uliahirishwa ndio maana yanga hawakukuta waamuzi, match com etc etc
Usipoelewa na hapa basi tena
Atakusumbua sana huyu,,,WANATUMIA MOYO (HISIA) KUFANYA MAAMUZIKaka unakichwa kigumu sana kuelewa, yaan ni hivi wenye mpira wao waliahirisha mechi baada ya timu ya Simba kulalamika kwao kuwa hawakupewa haki Yao ya kikanuni kafanya zoezi kwenye uwanja ambao mchezo utafanyika na muda ule ule wa mchezo wakalalamika kwa barua kwenda bodi ya ligi na kisha kwa press na wakatishia kutoshiriki mchezo huo namba 148
Bodi wakapitia malalamiko hayo wakaona Yana mashiko waka ahirisha mchezo, Sasa kama wangekuta hakuna mashiko wangewaambia Simba mechi iko pale pale na hapo ndio Simba wasingetokea basi point tatu zingeenda yanga...
Mchezo uliahirishwa ndio maana yanga hawakukuta waamuzi, match com etc etc
Usipoelewa na hapa basi tena
Tulipeleka timj uwanjani, hatukupata taarifa OFFICIALLY? Tunahaki ya kudai points zetu tatu hata kama kamisaa hakuja, sasa hapo TFF watupe sababu ya kikanuni kwa nini mechi ilifutwa na kwa nini wao hawakuleta hao Makamisaa, sisi kwa upande wetu tumetimiza wajibu wetu,kama tunavyofanya kwenye mechi nyingine. Ndio maana kwenye hiyo barua tumetoa tunacho kitaka.Yanga alipeleka Team uwanjani?
Hahaha, Ok. Embu tuyajadili makosa ya TFF. Tuanze na kosa la kughairi mechi, wamevunja kanuni ipi?Au unazani Yanga haina haki ya kuiwajibisha TFF hata kaa TFF wakikosea?
Soma vizuri barua husikaSasa point tatu zitatolewa kwa vigezo gani na mechi ilihairishwa? TFF kupitia bodi ya ligi si ilifuta hii mechi?
Hawajasoma hata vigezo vya kutoa point tatu iwapo timu itasusa mchezo?
Halafu hawajasoma kuwa mechi ilihairishwa kwa mamlaka ya kifungu kipi?
Sehemu gani, itaje ili tuijadili mkuu, tupo pamoja sana.Soma vizuri barua husika
Yanga inataka kujua TFF kughalisha ile mechi sababu ya kususa walitumia vifungu gani? Kwani hawa kuwataarifu OFFICIALLY maana wao hawakupata taarifa za mechi kughairishwa..... sasa kama wasipo wajibu,kuna mawili kuwawajibisha au mkubwa hakosei tutumie hekima na busara.Hahaha, Ok. Embu tuyajadili makosa ya TFF. Tuanze na kosa la kughairi mechi, wamevunja kanuni ipi?
Walitumia kifungu cha 34:1. Mbona wamesema kwenye barua yao?Yanga inataka kujua TFF kughalisha ile mechi sababu ya kususa walitumia vifungu gani?
Sehemu gani, itaje ili tuijadili mkuu, tupo pamoja sana.
Kinasemaje hicho kifungu kuhusiana na timu kisusa?Walitumia kifungu cha 34:1. Mbona wamesema kwenye barua yao?