Yanga yatoa wachezaji 13 timu za Taifa Afrika

Yanga yatoa wachezaji 13 timu za Taifa Afrika

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa tafsiri ya haraka ndio timu bora kwa sasa ktk ligi yetu na inaakisi kile ambacho kinaonekana viwanjani.

64272B94-3E28-47B3-92CA-652941386CB8.jpeg
 
Ukiamua kuhabarisha bas habarisha kikamilifu.
Wachezaji gani
Kwa majina yao
Na mataifa yao.
Au na wewe huna unachokijua???
 
Kongole kwa yanga safi sana….yanga kwa sasa ipo kwenye ubora sana ambao haujawahi shuhudiwa kwenye kizazi hiki
 
Mbumbumbu wasipokutoa baru kwa matusi na hasira basi utakuwa umevaa nguo nnje ndani ndani nnje bila kujua.
 
Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa tafsiri ya haraka ndio timu bora kwa sasa ktk ligi yetu na inaakisi kile ambacho kinaonekana viwanjani.
Safi sana Yanga.
 
Back
Top Bottom