Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Acha Kabisa Ila Mtandaoni Huko Mwenyewe Statistics Mchezaji Wa Week Ni Aziz Ki.
Dah iliniuma sana ile pasi ya kitalaamu kutoka kwa mtaalam Pacome, Aziz Ki kashindwa kuitumia wakati yupo na kipa tu.
 
Acha Kabisa Ila Mtandaoni Huko Mwenyewe Statistics Mchezaji Wa Week Ni Aziz Ki.
Mchezaji wa week imetolewa na official CAF wenyewe? hawawezi kutoa mchezaji wa week mapema tu leo. Nimeona Fotmob Pacome kawekewa star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…