Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

MAADA IMEFUNGWA
Imefungwa na nini! njoo uendelee kuchambua
1662351748246.jpg
 
Wahuni wakijua kuandika majina ya Timu tu wanageuka kuwa Wachambuzi mwenye uzi kaukimbia uzi wake kama yule jamaa mwingine alianzisha nyuzi saba jana za Yanga kufungwa...
 
View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.

Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Vp una Hali Gani saiv hapo??? Msiwe wajinga kwenye maisha . Kamwe usimkatie tamaa binadamu
 
View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.

Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Unatesekea wapi?
 
Back
Top Bottom