Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Hakika
Awa wafuasi wa Rage, Mbumbumbu Fc ni wengi na akidi inatosha kwa serikali kuchagua eneo la kujenga mnara.
Rage popote ulipo Nina hakika mnara wako wa kumbukumbu utajengwa kuwa na subira.
 
Leo umefundishwa kuwa mpira sio sawa na kukuna nazi huku unaimba nyimbo za taarabu za mipasho bali ni kujipanga. Umejifanya mjuaji sana na mpiga ramli kwa Yanga. Umeumbuka kilichokuwa kigumu zaidi ya hiyo kutoa sare Cairo leo kimefanyijka. Yanga kaishamaliza hesabu zake nyie subirini wiki ijayo
The reason hatupendi Yanga ishinde sio kwasababu tunachuki na Yanga.

Yanga ni jina tu la timu hilo halina shida kwetu.

Shida ipo kwa mashabiki wake wanaogeuka kero kila baada ya kupata ushindi.

Nyinyi ndio mmefanya ionekane matokeo mabaya kwenu yawe ni ufunguo wa kuleta amani kwa wasiokuwa mashabiki wa Yanga

Sisemi kwamba hilo jambo halipo upande wa Simba ila nashangazwa na nyie mnaotaka kunadilisha asili kulazimisha wote tuishangilie timu yenu ilihali hata nyinyi mmekuwa mkifanya the same kwenye mechi za Simba
 
Matumizi Ya Baadae Yamefika Sasa.

Mwenye Uzi Bado Ana Nguvu Za Kusoma Uzi Wake?
Mbio mbio nikakimbilia kuangalia aliyeanzisha uzi. Mawazo yangu yote najua ni Mwasibu.

Ndugu yangu adriz kama kawaida huu uzi tukauhifadhi kule masijala kwa matumizi ya baadae.
 
Zinaitwa Ramli Chonganishi
Wachawi ndo maana huwa hamfanikiwi on the long run. Ramli siku zote hazijawahi kuwa sawa maana mnasahau kabisa kwamba kuna Mipango ya Mungu pia ambayo hata mwanadamu awe nani, hawezi kuijua. Shame on you
 
The reason hatupendi Yanga ishinde sio kwasababu tunachuki na Yanga.

Yanga ni jina tu la timu hilo halina shida kwetu.

Shida ipo kwa mashabiki wake wanaogeuka kero kila baada ya kupata ushindi.

Nyinyi ndio mmefanya ionekane matokeo mabaya kwenu yawe ni ufunguo wa kuleta amani kwa wasiokuwa mashabiki wa Yanga

Sisemi kwamba hilo jambo halipo upande wa Simba ila nashangazwa na nyie mnaotaka kunadilisha asili kulazimisha wote tuishangilie timu yenu ilihali hata nyinyi mmekuwa mkifanya the same kwenye mechi za Simba
Kwahiyo kusema kwako kuwa Yanga hawezi kufanya kitu fulani unajigeuza wewe ni mganga? Mungu? Mshika funguo za mafanikio au mpiga ramli? Ushabiki upo ila sio kuwa kama ni mgeni wa mpira wa miguu. Kilichotokea leo ni funzo kwako na kwa wengine kuwa muwe na akiba ya maneno mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika.
 
Yanga anaweza kupita, goli 3 zinawezekana kabisa. Anahitaji huo ushindi tu, kwani wakiwa point sawa head to head itatumika baina yao kuona katika yake na CR nani kachukua point nyingi kwa mwenzake, ikiwa sawa magoli yatachukua nafasi.
Ulitisha sana mwamba
 
Back
Top Bottom