Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.

Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Unasemaje eti!
 
Hiyo game ya yanga na CRB pale kwa mkapa ni game ngumu mno tofauti na wadau wengi wanavyopiga hesabu za vidole tena inaweza ikatoa matokeo ya kushangaza....ila yanga akifanikiwa kushinda 4-0 anapita moja kwa moja kwenda robo kabla hajacheza hata game yake ya mwisho na al ahly, na akitokea amefungwa hata goli moja itakuwa end of the road kwake!....
GT wa JF wenyewe ndio hawa.

IMG-20240224-WA0029.jpg
 
Watu mna darubini kali. Hongera sana Mkuu kwa uchambuzi wako na hatimaye yametimia.
 
View attachment 2906369

Mechi za Yanga zilizobaki

Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini

Mechi za CR Belouzidad

Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC

ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.

Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Rudi hapa ueleze ndoto zako we kolokwinho
 
Hiyo game ya yanga na CRB pale kwa mkapa ni game ngumu mno tofauti na wadau wengi wanavyopiga hesabu za vidole tena inaweza ikatoa matokeo ya kushangaza....ila yanga akifanikiwa kushinda 4-0 anapita moja kwa moja kwenda robo kabla hajacheza hata game yake ya mwisho na al ahly, na akitokea amefungwa hata goli moja itakuwa end of the road kwake!....
Hongera. Utafika mbali.
 
Back
Top Bottom